• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA SIASA MKOA YATEMBELEA MIRADI WILAYANI UBUNGO

Posted on: February 2nd, 2020


Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo tarehe 1/2/2020 imetembelewa na Viongozi wa kamati ya Siasa Mkoa.

Katika ziara hiyo  iliyoongozwa na Mwenyekiti wa kamati ya Siasa Mkoa  Mhe.Kate Kamba Katibu wa Siasa Mkoa Ndg. Zakaria Mwansasu na Viongozi wa kamati ya Chama Wilaya na kupokelewa   na wenyeji wao Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe.Kisare Makori na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic.

*Miradi  iliyotembelewa ni mradi wa Tanki la usambazaji maji uliopo Kwembe, Mradi wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Ubungo uliopo Kimara, Mradi wa upanuzi barabara ya Morogoro njia nane kuanzia kimara hadi Kibaha, Mradi wa  Shule wa  ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na ofisi 1 ya walimu na ukamilishaji wa vyumba 3 vya madarasa shule ya  Msingi Mbezi luis, Mradi wa Ujenzi wa fly overs(ubungo interchange), na Mradi wa ujenzi wa barabara ya Korogwe Kilungule.*


Nitoe pongezi kwa jitihada ambazo mmezionyesha katika Miradi tuliyoitembelea,  mkaendelee  kusimamia  vizuri Miradi hiyo ikamilike kwa wakati na tarehe ambazo mmezitaja katika ukamilishaji wa Miradi hiyo ikatimie ipasavyo na kwa wakati. Alisema Mwenyekiti.

Kwa shule hii ya Mbezi luis nimefurahishwa na huendeshaji wa mradi huu na pia jambo ambalo limefanyika la ubunifu katika darasa ambalo linatumika  kutolea elimu ya vitendo ikawe mfano na kwa shule nyingine, Nimpongeze pia Mkurugenzi kwa usimamizi na utekelezaji mzuri wa  mradi huu wa madarasa na maendeleo ya shule kwa ujumla. Aliongeza Mwenyekiti.

Aidha Mwenyekiti  alisisitiza usimamizi  wa miradi    kwa kuzingatia thamani ya miradi na viwango vya mradi na miradi kusimamiwa kwa umakini, Tunapotembelea miradi tuhakikishe tuna zingatia utekelezaji  wa miradi kwa umakini kama viongozi.Pia nipongeze  viongozi wa Wilaya ya Ubungo Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi kwa usimamizi na utekelezaji mzuri wa  miradi. Aliongeza Mwenyekiti.

Aidha Katibu wa Siasa Mkoa alisisitiza miradi   kusimamiwa kwa  umakini na kwa kuzingatiwa thamani yake ili kuleta maendeleo.

"Nimesikia changamoto ambayo  inaikumba kwa sasa Halmashauri hii kwa kukosa jengo lake la kudumu kitu kinachopelekea wananchi kukosa huduma katika eneo moja na hii imetokana na ofisi kuwa mbalimbali, Mkurugenzi hakikisha mkataba na Mkandarasi ambaye anakwamisha ujenzi huu  hunakatisha mkataba wake na kuangalia mkandarasi ambae atashughulikia ujenzi umalizike kwa haraka". aliongezea Katibu

Pamoja na hayo Mkuu wa Wilaya ya Ubungo  Mhe.Kisare Makori alishukuru kwa ujio wa kamati hiyo ya chama kwa Wilaya ya Ubungo kwa kutembelea miradi ambayo ipo ndani ya wilaya na kuona maendeleo yake.

Nae Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo alishukuru kwa ujio wao wa kutembelea katika Miradi na kutoa changamoto inayoikumba Manispaa kwa sasa ambayo ni kutokuwepo kwa  Ofisi ya kudumu ya Manispaa iliyopelekea kujenga jengo la muda ambalo linatumika kwa  sasa na  hiyo ni kutokana na ujenzi wa jengo la kudumu kukwamishwa na Mkandarasi ambae ni TBA kwa kuchukua muda mrefu kukamilisha jengo hilo.

Mwisho alishukuru kwa ujio wa Kamati hiyo kwa kutembelea miradi na kuona utekelezaji wake.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.