• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA SIASA UBUNGO YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: May 6th, 2021

Kamati ya Siasa  ya chama cha mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ubungo  imefanya ziara ya kutembelea na  kukagua  miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Wilaya hiyo lengo ikiwa ni kujionea  utekelezaji wa ilani ya chama hicho.

Katika ziara hiyo ambayo itafanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 6 hadi 7  Mei, 2021 ,  Kamati hiyo ikiongozwa na mwenyekiti wa chama Wilaya ndugu Lucas Mgonja. imetembelea na kukagua miradi sita yenye thamani ya zaidi ya bilioni 2.3 ikiwemo ujenzi wa mabanda ya wajasiriamali Mbezi, mradi wa maji makabe na king'azi, ujenzi wa Madarasa  3 shule ya Msingi matosa, ujenzi wa Barabara ya  king'ongo hadi kimara na  ujenzi wa zahanati ya Msingwa yote ikiwa inapatikana Jimbo la Kibamba

Mradi wa ujenzi wa mabanda ya wajasiriamali uliopo mbezi uliogarimu shilingi bilioni 1.6 pamoja na gharama ya fidia ya eneo.

Akizungumza baada ya kukagua miradi hiyo Mgonja alieleza Kuwa ukaguzi huo in wa kawaida ambapo chama kinawajibika kujionea utekelezaji wa ahadi mbalimbali walizoahidi wananchi kupitia ilani ya chama hi hicho.

Katika ukaguzi huo Kamati imepongeza utekelezaji wa miradi hiyo ambayo inalenga kuboresha na kusogeza huduma karibu na wananchi kama ilani ya chama hicho ilivyoahidi.

"Ujenzi wa miradi ya maji, madarasa, vituo vya kutolea huduma za afya na miundombinu ya barabara ni kutekeleza kwa vitendo ilani ya chama na ndio maana Kamati ya siasa inakagua kuona utekelezaji wake"  alifafanua Mgonja.

Pamoja na pongezi hizo Kamati imeagiza  kuongeza kasi ya  utekelezaji wa miradi hiyo ili ikamilike kwa wakati na kurekebisha baadhi ya kasoro zilizobainika kwenye miradi hiyo.

Kamati hiyo itaendelea na ziara yake Kesho tarehe 7 mei, 2021 kwa jimbo la Ubungo.

Mradi wa ujenzi wa madarasa 3 shule ya msingi Matosa iliyoko kata ya Goba

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.