• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA SIASA WILAYA YA UBUNGO YAIPONGEZA WILAYA HIYO KWA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO.

Posted on: September 30th, 2023

“Ninawapongeza sana Viongozi wa Manispaa ya Ubungo kwa usimamizi utekelezaji wa ujenzi mradi huu mkubwa kwa maslahi ya Taifa hususani watoto wa kike wanasayansi”

Pongezi hizo zimetolewa na Mhe. Rogert Mbowe Mwenyeketi wa chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ubungo alipotembelea Shule mpya Maalumu ya Sekondari ya wasichana ya sayansi ya Mkoa wa Dar es Salaam inayojengwa ndani ya Manispaa ya Ubungo ambayo itachukua wanafunzi wa kike wa kuanzia kidato I-VI akiongozana na Kamati ya Siasa (CCM) ya Wilaya hiyo.

“Nimefurahishwa na muonekano wa majengo hayo pamoja na jitihada zinazoendelea kufanyika kwa lengo la kuboresha Shule hii muhimu ambayo italeta msaada mkubwa kwa mabinti wanaosoma mchepuo wa sayansi niwaombe tuitunze na kuilinda miundombinu yake na nafarijika kuona Ilani inaendelea kutekelezwa na kusimamiwa ipaswavyo” alisema Mbowe.

Akisoma taarifa ya mradi huo Ndg. Andambike Kyomo ameeleza kuwa kwa mwaka wa fedha 2021/2022 Mkoa wa Dar es Salaam kupitia Manispaa ya Ubungo ilipokea kiasi cha shilingi Bilioni 3 Fedha kutoka Serikali kuu zilizotokana na Programu ya uboreshaji wa elimu ya Sekondari SEQUIP kwa awamu ya kwanza kwa ajili ya ujenzi wa Shule hiyo.


Katika awamu hiyo majengo mbalimbali yamejengwa ikiwemo ujenzi wa madarasa 12, ujenzi wa matundu ya vyoo 1, ujenzi wa mabweni 5, ujenzi wa vyumba vya maabara 4, ujenzi wa jengo la Utawala 1, ujenzi wa bwalo 10, ujenzi wa nyumba za walimu 3 sambamba na ujenzi wa miundombinu ya kazi za nje ikiwemo ujenzi wa tanki la kuhifadhi maji lita 32000, ujenzi wa mitaro ya maji, ujenzi wa uzio, ujenzi wa vichomea taka na ujenzi wa njia za waenda kwa miguu alisema Kyomo.

Aidha, Kyomo ameendelea kuelezea kuwa kwa awamu ya pili Manispaa ya Ubungo ilifanikiwa kupokea shilingi bilioni 1.1 kwa ajili ya ujenzi wa awamu ya pili ya miundombinu ya Shule hizo ikiwemo vyumba vya madarasa 10, chumba cha Tehama - 1, Maktaba - 1, Nyumba za walimu 3 kati ya hizo mbili ni (2 in 1) na Mabweni ya wanafunzi 80 - 5.

Mkurugenzi manispaa ya ubungo ELIAS NTIRUHUNGWA akionyesha mfano wakati wa ziara walipotembelea katika shule ya sekondari ya DAR ES SALAAM GIRLS iliyopo kata ya Kwembe 


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.