• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA SIASA WILAYA YA UBUNGO YAPOKEA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI (2020-2025) KWA KIPINDI CHA JULAI HADI DISEMBA 2021

Posted on: February 25th, 2022

Leo februari 25,2022 Kamati ya Siasa Wilaya ya Ubungo imepokea taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi kwa Taasisi za Serikali Wilaya ya Ubungo ikiwemo Manispaa ya Ubungo, TANESCO, DAWASA ,TRA TARURA na TANROAD  katika kutatua Kero za wananchi.


Akiwasilisha kwa ufaulu taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya CCM Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mh Kheri James pamoja na kuelezea utekelezaji wa shughuli mbalimbali kutoka Taasisi zilizopo wilayani hapo ameeleza wajumbe juu ya uwepo wa zoezi la Anwani za makazi ambapo hadi sasa limefikia katika hatua mbalimbali ikiwemo kujenga uelewa kwa viongozi na wananchi na elimu hiyo ni endelevu.


“Zoezi hili ni muhimu na linatakiwa kutekelezwa kwa muda mfupi hivyo nawaomba kama viongozi kuhamasisha wananchi kushiriki kikamilifu ili zoezi hili lifanikishwe kwa wakati na kwa ufanisi mkubwa” alieleza Mh. James.


Akizungumza wakati wa kikao hicho, Mwenyekiti wa Chama Mh Lucas Mgonja hicho amempongeza Mkuu wa Wilaya Mh. Kheri James kwa usimamizi mzuri wa shughuli za Maendeleo zinazolenga kutatua kero mbalimbali za wananchi ikiwemo huduma ya maji, umeme, barabara na huduma zingine ambazo zinafanya wanaubungo waipende Serikali yao.


Aidha Mh. Mgonja ameeleza kuwa mafanikio ya utekelezaji mzuri wa Ilani ya chama ni matokeo ya mahusiano mazuri kati ya chama na Serikali na uwepo wa watumishi  wanaojituma katika kutekeleza majukumu yao.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.