• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA UCHUMI, AFYA NA ELIMU UBUNGO YATEMBELEA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: January 12th, 2024

Kamati ya uchumi, afya na elimu ya Manispaa ya Ubungo leo imefanya ziara ya kutembelea Shule mpya ya Awali na Msingi Kibamba ‘B’ lengo ikiwa ni kukagua ujenzi wa Shule hiyo.

Akiongea katika ziara hiyo Mwenyekiti wa ziara hiyo Mhe. Ismail Mvungi ameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa ujenzi wa Shule hiyo ambayo kwa kiasi kikubwa imeenda kupunguza changamoto ya upungufu wa miundombinu ya elimu ndani ya Manispaa hiyo.

Sambamba na hayo Mhe. Mvungi amewataka walimu wa Shule hiyo kufanya bidii katika ufundishaji wa wanafunzi na hivyo kuifanya Shule hiyo mpya kuwa ya mfano juu ya ufaulu wa wanafunzi

Akimuwakilisha Mkurugenzi wa Manispaa hiyo katika ziara hiyo Denis Nyoni amesema uwepo wa Shule hiyo umesaidia kupunguza msongamano kutoka Shule mama iliyopo eneo hilo na hivyo kuwezesha wanafunzi kujifunza kwenye mazingira mazuri na kuongeza ari ya ujifunzaji na ufundishaji.

Utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa Shule hiyo umegharimu kiasi cha shilingi Milioni 400 ambazo ni Fedha kutoka Serikali kuu kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 9 ya Msingi, madarasa mawili ya awali, jengo la utawala, matundu 6 ya vyoo ya wanafunzi wa darasa la awali na matunda 16 ya vyoo kwa wanafunzi wa madarasa ya msingi.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.