• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WA MTOTO WILAYA YA UBUNGO YAPEWE SEMINA KUHUSU UGONJWA WA KORONA

Posted on: April 2nd, 2020

Kamati ya Ulinzi na Usalama wa mtoto Wilaya ya Ubungo yapewa semina kuhusu ugonjwa wa korona na muwezeshaji ambaye ni Mtaalamu wa Magonjwa ya Mlipuko  Dk.Baraka Chaula  katika ukumbi uliopo katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya Luguruni.

Wawezeshaji wengine waliohudhulia ni  Dk.Mariana Makuu  ambaye ni mwenyekiti wa Taswo(Tanzania Association of Social Workers) Taifa na  Digna Nsanya ambaye ni Afisa Ustawi wa Jamii Mwandamizi Wizara ya Afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Pamoja na Afisa Ustawi wa Wilaya ya Ubungo Zainabu Masilamba

Lengo la semina ni kuelimisha wajumbe jinsi ya kujikinga na maambulizi ya korona na namna wajumbe wakamati wanaweza kuwa mstari wa mbele katika kutoa elimu kwa watoto walio katika jamii na  wananchi waliowazunguka kuhusiana na ugonjwa wa korona na kusimamia ulinzi wa watoto na wanawake katika jamii.

"Hali ya korona kwa nchi yetu kwa sasa idadi ya wagonjwa wamefikia 20  kama ilivyoelezwa na Idara  ya Afya na tuchukue tahadhali kupambana na ugonjwa huu  mkawe wahamasishaji wazuri kwa   jamii inayotuzunguka. alisema hayo Dk.Baraka Chaula

Aidha nitoe ufafanuzi maambukizi haya asilimia 95% ni kwanjia ya maji maji  ya moja kwa moja kutoka kwa mgonjwa na asilimia 4% ni kwanjia ya kushika vifaa ambavyo vilishikwa na muathirika wa ugonjwa huo(mf.simu,peni n.k)

Niwaombe mkawe mabalozi mkaelimishe jamii na pia tuzingatie na kuhakikisha tunafunika mdomo wakati wa kukohoa,tuepukane na mikusanyiko ya watu,na tunawe mikono na sabuni kwa maji safi yanayotitirika. aliongezea Dk.Baraka

Mwisho mwakilishi wa Mkurugenzi  Fortunata Shija aliwashukuru wawezeshaji kwa ujio wao na elimu waliyoitoa kwa wajumbe wa kamati.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.