• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMATI YA ULINZI WA WANAWAKE NA WATOTO MANISPAA YA UBUNGO LAKUTANA KUPANGA MIKAKATI YA KUTOKOMEZA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

Posted on: October 26th, 2021

Kamati  ya Ulinzi wa wanamke na watoto Manispaa ya Ubungo limekubaliana kuwachukulia hatua wahusika wa unyanyasaji  wa watoto wanaofanyiwa  ukatili wa kijinsia Katika mazingira mbalimbali ikiwemo mashuleni ,mitaani na majumbani   ikiwa ni Mkakati wa kutokomeza matukio ya unyanyasaji

Akiongea wakati wa kikao hicho kilichofanyika  tarehe 26.10.2021  Zainabu Masilamba alisema kuwa kamati itatembelea na kutoa elimu kuhusu unyanyasaji wa kijinsia  kwa wanafunzi na walimu

Aidha kamati imependekeza uanzishwaji wa clabu za kupinga ukatili wa kijinsia katika Shule zote za Msingi na sekondari ili kuwajengea uwelewa juu ya maswala hayo na kupunguza matendo ya unyanyasaji

Bi.zainabu Masilamba Katibu wa kamati hiyo  alieleza kuwa kamati imefanikiwa kushughulikia  ufuatilia wa kesi 25 za ukatili wa kijinsia wa watoto ikiwemo ulawiti,ubakaji na utumikishwaji ambazo zipo katika hatua mbalimbali za kisheria

Aliendelea kusema kuwa kamati imefanikiwa  kuwapatia msamaha wa matibabu wazeee 1855,  migogoro 249 ya matunzo ya watoto imeshughulikiwa ambapo migogoro 229 imeshughulikiwa na migogoro 20 imepelekwa mahakamani kwa hatua zaidi

Aidha, Mashauri 103 ya ndoa yameshughulikiwa Kati yao 95 yamesuluhishwa 4 yamepelekwa mahakamani na 2 yamerudishwa BAKWATA, Watoto 18 wanaume 12 na wanawake 6 wamepatiwa hifadhi ya muda Katika maeneo ambayo yapo ndani ya Manispaa ya Ubungo pamoja na kwa watu wanaoaminika

Na pia Wagonjwa 44,077 wanaume 20,039 na wanawake 24,038  wamepatiwa msamaha wa  Kodi ya matibabu kwa gharama ya shilingi 146,782,484.5 zilizotolewa na Manispaa ya Ubungo kupitia vituo vyake

Kati ya vikundi  40 vilivyotarajiwa kupatiwa mikopo hiyo, vikundi 21 vya watu wenye ulemavu vimehakikiwa na kupatiwa mikopo ya vyombo vya Moto,

Na kufanikiwa maombi 5  ya malezi  ya kambo yalipokelewa na kufikishwa kwa kamishna wa ustawi wa jamii

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.