• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

Posted on: May 3rd, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mh. Lazaro Twange ametoa wito kwa wananchi kuendelea na zoezi la usafi kila mwisho wa mwezi ili kuweka safi Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo.

Kampeni hiyo iliyozinduliwa  Mei 3, 2025 ijulikanayo kama KAUSAPEU ( Kataa uchafu, Safisha, Pendezesha Ubungo) imeshirikisha wadau wa Mazingira , viongozi wa Serikali, Vyama vya siasa, wakuu wa Idara wa Manispaa ya Ubungo, wafanyabiashara pamoja na Wakazi wa Kata ya Msigani, Mtaa wa Kwa Yusuph ikilenga kupendezesha na kuiweka safi Ubungo.

Mh. Twange amewataka wananchi na wafanyabiashara wote kuhakikisha maeneo yote yanakuwa safi muda wote huku akitaka suala la usafi linakuwa ni suala endelevu na kwamba watakuwa wanafanya ukaguzi kila baada ya muda katika Mazingira yao.

Pia amesema kuwa hawatasita kuwachukulia hatua wananchi na wafanyabiashara wote watakaokiuka sheria, kanuni na taratibu za uhifadhi wa mazingira kwa kutumia sheria ndogo ambazo zimeelekeza kutoza faini kwa atakae bainika kuharibu mazingira.

Kwa upande wake Mkuu wa Kitengo cha Udhibiti wa taka ngumu Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Bw. Lawi Bernard Mgongo amesema kampeni hii kutakuwa na zawadi zitakazo tolewa kwa kila nusu ya mwaka ambapo Shilingi 600,000 itatolewa kwa mtaa utakaofanya vizuri.

"Na kila baada ya miezi sita zawadi zitatolewa kwa mtaa utakaofanya vizuri wa kwanza shilingi 600,000/= wa pili 300,000/= na watatu 200,000/=

Na Kwa Mtaa ambao utafanya vibaya utapewa Bendera ambayo itasomeka "Balozi wa Uchafu Ubungo" ~ Amesema Lawi

Nae, Mstahiki Meya Manispaa ya Ubungo Mh. Jaffary Nyaigesha amepongeza kuanzishwa kwa  kampeni hiyo na kusisitiza kuwa ni lazima tupambane kukataa uchafu na sheria ya hakuna kutupa hovyo taka lazima ifuatwe.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.