• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAMPENI YA KAU SAPEU INATEKELEZWA KWA KASI UBUNGO

Posted on: October 28th, 2023

Kampeni ya Kataa Uchafu Safisha, Pendezesha Ubungo (KAU - SAPEU) imeendelea kuupiga mwingi Ubungo wananchi wameendelea kujitokeza kwa wingi kufanya Usafi  katika maeneo yao.

 Tarehe 28/10/2023 Ikiwa ni jumamosi ya mwisho wa mwezi Ubungo kiwilaya usafi umefanyika katika Kata ya Makuburi katika eneo la Riverside kuanzia darajani Gide hadi darajani mpakani na Ilala

Akiongea katika Usafi huo Katibu Tawala Ndg, Hassan Mkwawa amesema kuwa, ni jukumu la kila mtaa na kata kuhakikisha maeneo yanayo wazunguka yanakuwa safi kwani itasaidia katika kuepukana na magonjwa ya mlipuko  na pia katika kampeni inayoendelea kuna zawadi ambazo zitatolewa kwa mtaa na kata itakayofanya vizuri katika usafi

"Nitoe wito kwa wana Makuburi usafi unaanza na sisi na usafi katika maeneo yetu uwe endelevu" alisisitiza Hassan

Hassan, aliendelea kusisitiza usafi ni jukumu la kila mmoja kufanya usafi mara kwa mara na niwapongeze vikundi vya jogging kwa kujitokeza kwa wingi katika kampeni ambazo serikali imekua ikiziendesha.

Aliendelea kusema kuwa, zoezi la usafi liwe endelevu, mkafanye usafi hata majumbani na mpeleke ujumbe hata kwa walio majumbani kwa kuhakikisha wanasafisha na kuweka maeneo safi

Akiongea Kwa niaba ya Mkurugenzi Ndg. Andambike Kyomo amewashukuru wadau wote kwa kujitokeza katika zoezi la usafi na aliendelea kwa kutoa rai kwa wananchi wa maeneo yote kuendelea kufanya usafi na kuweka mazingira safi.

"Tunaelekea katika kipindi cha mvua nyingi  tuweke maeneo yetu salama na maeneo yenye mitaro kwa kusafisha mitaro na kupanda miti pia"alisistiza Kyomo

Aidha, Wadau mbalimbali wamejitokeza wakiwemo Taasisi ya Tanroad, Kampuni ya BMP( incorporate ltd) Kikundi cha Ngumi Ubungo District Boxing association, Suma JKt, vikundi vya Jogging ikiwemo Mwongozo jogging,Mikongeni jogging na Chama cha mapinduzi Kata ya Ubungo.


pichani ni wananchi  wakifanya usafi katika eneo la riverside 

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.