• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KASI IONGEZEKE NA MSHUGHULIKIE KWA UDHARURA WAKE ~ KAMATI YA MIPANGO MIJI

Posted on: April 15th, 2025

Kamati ya mipango miji Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo inayoongozwa na Mhe. Nicholaus Batalingaya, ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Kwembe imefanya ziara kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ndani ya Manispaa ya Ubungo.

Ziara hiyo imefanyika April 15, 2025 ikiambatana na Wajumbe wa kamati hiyo, Wakuu wa Idara na Vitengo kujionea hatua iliyofikiwa katika Ujenzi wa jengo la upasuaji na wodi ya mama na mtoto katika kituo cha afya Makurumla ambapo wameagiza mradi huo ukamilike kwa wakati na kwa viwango vya ubora vinavyotakiwa.

Aidha kamati hiyo imeonyesha kuridhishwa na hatua za mradi huo ambao ukikamilika utahudumia wananchi zaidi ya laki mbili.

Wakiwa katika Mto Wasala kata ya Mburahati, kamati hiyo imeagiza mradi wa ujenzi wa kivuko cha waenda kwa miguu uanze mara moja katika mto huo ili kutatua changamoto wanazozipata wananchi kuvuka katika eneo hilo kwenda  eneo jingine.

Kamati hiyo pia ilifika katika mto Luhanga kata ya Mabibo kujionea athari za mabadiliko ya tabianchi ambayo yamepelekea kumomonyoka na kutanuka kwa mto huo na kuleta wasiwasi wa athari zinazoweza kùnitokeza endapo hatua za haraka hazitachykuliwa.

Ili kukabiliana na athari hizo, kamati hiyo imeagiza ifanyike tathmini ya haraka ili kujua mahitaji ya msingi kwa kushirikiana wadau kama vile TARURA, TANROADS, Kiwanda cha nguo cha NIDA na wataalam wa Manispaa ili kunusuru athari kubwa zinazoweza kujitokeza.

Vilevile, wametoa wito kwa wataalamu kuhakikisha mradi huo unazingatia utaalamu wa mazingira na kushirikisha jamii ili kuongeza ufanisi na uendelevu wake.

Pamoja na mambo mengine, wajumbe wameshauri idara ya biashara Manispaa ya Ubungo kuhakikisha inasimamia katazo la Packing bubu inayotumiwa na vishoka katika eneo hilo kwani inatumika kulaza magari yenye uzito mkubwa na kuongeza hatari ya kudidimia zaidi.

Kwa upande wa Kiwanda cha nguo NIDA kimesema kipo tayari kushirikiana na Uongozi wa Manispaa ya Ubungo kwa hali na mali ili isije ikatokea kiwanda kikasimama kutokana na athari za mazingira ya mto huo ambayo yakitokea yatakiathiri moja kwa moja.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.