• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KATIBU TAWALA WILAYA YA UBUNGO AITAKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO KUHUSISHA WADAU KATIKA UPANGAJI WA BAJETI YA MASUALA YA LISHE

Posted on: December 21st, 2019

 Katibu tawala wilaya ya Ubungo Ndg. James Mkumbo wakati akifungua mafunzo ya uandaaji bajeti ya masuala ya lishe yaliyofanyika katika ukumbi uliopo ofisi za Mkuu wa Wilaya zilizopo Luguruni. Wakati akifungua kikao hicho Katibu Tawala alisisitiza kwa wajumbe wa kamati ya afya kutilia kipaumbele katika masuala ya lishe na kuhakikisha wanasimamia kwa umakini kwani ni swala nyeti na linalotakiwa kufanyiwa kazi kwa weledi.

Aidha amesema kwa mujibu wa tafiti ya lishe ya mwaka 2018 zinaonyesha kati  ya watoto 100 kati yao 32 wamedumaa yaani  hawana lishe bora, na hawawezi kufundishika na hata kuleta tija katika kuinua uchumi wa taifa na badala yake gharama kubwa hutumika kuwatunza. Pia alisisitiza kwa Kamati ya Amani ya Wilaya kushirikishwa katika mpango huu wa Lishe na kupewa elimu juu ya lishe  ipasavyo ili kuweza kusambaza ipasavyo na  kuzungumzia kuhusu lishe mashuleni, makanisani na hata  misikitini.  Aliongezea KatibuTawala.

Naomba nisisitize kuwa maafisa Mipango na makatibu wa Afya wahakikishe kuwa wanawahusisha moja kwa moja maafisa Lishe katika masuala mazima ya bajeti ya lishe na ubadilishaji wa matumizi ya vifungu vya fedha (reallocation) ili kuleta weledi. Alisema Katibu Tawala.

Aidha aliitaka Halmashauri kuhakikisha kuwa agenda ya lishe inakuwa ya kudumu katika vikao vyake. Vile vile ihakikishe inatenga Tsh. 1,000/= kwa kila mtoto katika bajeti ya maendeleo kama mwongozo wa serikali unavyosema.  Pamoja na hayo Halmashauri  imeshauri kuwahusisha wadau kwenye hatua za bajeti ya masuala ya lishe ili hatimaye wasaidie serikali iweze kufikia malengo yake. Baada ya kufungua mafunzo hayo Katibu Tawala alitaka kila idara kwa kushirikiana na taasisi mbali mbali kutilia mkazo suala la lishe kwani ni suala mtambuka kwa sababu linamhusu kila mtu.

Kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa Dk. Telesphory Kyaruzi alimaliza kwa kumshukuru Ndg. Allan kutoka TAMISEMI kwa mafunzo aliyoyatoa, aidha aliwataka walioshiriki kuzingatia yale yote waliyoelekezwa na kuyafanyia kazi ili wanaUbungo wakawe na lishe bora kwa ajili ya kulitumikia Taifa.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.