• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KAZI IFANYIKE USIKU NA MCHANA

Posted on: January 9th, 2024

Kazi ifanyike usiku na mchana mpaka ifikapo tarehe 15 januari, 2024  ujenzi uwe umekamilika na shule ikabidhiwe ikiwa imekamilika, Ni lazima agizo la waziri alilolitoa lizingatiwe 

Kauli hiyo imetolewa tarehe 9/1/2024 na Naibu katibu Mkuu anayeshughulikia upande wa Elimu Dkt. Charles Msonde alipotembelea ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Mkoa ya Dar es Salaam Girls iliyopo kata ya kwembe katika mtaa wa Njeteni alipotembelea ujenzi wa awamu ya pili unaoendelea katika shule hiyo wa Mabweni 4, Madarasa 10 na Jengo la Tehama, Maktaba na Nyumba za Walimu 3.

Akikagua maeneo mbalimbali ya shule hiyo, Msonde amepongeza hatua ya kwanza ya ujenzi wa shule hiyo iliyogharimu kiasi cha shilingi bilioni 3 ambapo madarasa  12, Jengo la Utawala, bwalo pamoja na jiko, nyumba za walimu 2 na  mabweni 4  yalijengwa.

Msonde amesisitiza kwa awamu ya pili ambayo itagharimu kiasi cha shilingi bilioni 1.1  ujenzi ufanyike kwa haraka ili ifikapo tarehe 15/1/2024 shule iweze kukabidhiwa ikiwa imekamilika

Aidha,Msonde ameongea na walimu wa shule hiyo na kuwasisitiza wafanye kazi kwa weledi kwa kuhakikisha wanakuwa waanzilishi wazuri wa  shule hiyo 

"Walimu mmepewa dhamana kubwa kwenye nchi mzingatie kufundisha kwa ubunifu na kwa uzalendo

Halikadhalika, Shule hiyo mpaka sasa wanafunzi wanaendelea kusoma ambapo kwa mwaka huu wa 2024 imepokea wanafunzi 215  ambao wamejiunga na  kidato cha kwanza.

Nae Mwalimu Kitinusa Kashinde ameshukuru ujio wa Naibu Katibu Mkuu katika Shule hiyo kwa kuwatembelea na kuongea nao na hasa kwa elimu aliyoitoa juu ya namna ya kuzingatia katika ufindishaji


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.