• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KIKAO CHA KUJADILI UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE KWA KIPINDI CHA JANUARI - MARCHI CHAFANYIKA

Posted on: June 14th, 2024

Katika kuhakikisha lishe inaendelea kuwa ni suala mtambuka kwa jamii, Idara ya Afya, lishe na Ustawi wa jamii kupitia kitengo cha lishe wameendelea kutoa elimu kwa wajawazito, wazazi na walezi kuhusu umuhimu wa kuzingatia lishe kamili kwa watoto walio chini ya miaka 5

Hayo yameelezwa na afisa lishe Manispaa ya ubungo Beatrice Mossile wakati akisoma taarifa ya utekelezaji wa Mkataba wa lishe kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia Januari hadi Machi 2023/2024

Mossile aliendelea kueleza kuwa kwa kipindi hicho pia Ugawaji wa vidonge vya madini ya chuma kwa wajawazito umeweza kufanikiwa kutolewa katika vituo vya kutolea huduma za afya kwa asilimia 97 na  wajawazito wamefanikiwa kupatiwa vidonge hivyo

Jumla ya watoto 151 waligundulika na utapiamlo lakini wamefanikiwa kupatiwa matibabu na kati yao 6 wanaendelea kufatiliwa kwa ukaribu. Alieleza Mossile

Aliendelea kueleza kuwa katika kuhakikisha masuala ya usafi masokoni katika bar unaendelea kufanyika Idara ya Afya imeendelea kusimamia jambo hilo kwa ufasaha na zoezi hilo limekuwa likisimamiwa na Afisa Afya wa Manispaa

Nae, Mganga Mkuu manispaa ya  ubungo Dkt.Tulitweni Mwinuka  amesema kuwa Kamati imetoka na maazimio ikiwemo  kufanyia kazi  changamoto ambayo imeendelea kujitokeza  ya watoto kuzaliwa chini ya uzito unaotakiwa na kuahidi kufanyia kazi suala hilo.

Dkt.Tulitweni aliendelea kueleza kuwa kama ilivyo desturi zoezi la utoaji wa elimu kuendelea kutolewa hasa ikilenga kuelimisha jamii kuhusu kilimo cha mjini (kilimo cha kisasa)

Nae kaimu Mkurugenzi Kissa Mbila amewataka wajumbe wa kamati hiyo kuhakikisha changamoto iliyoonekana  na kupelekea kupata alama ya njano katika swala la watoto kuzaliwa na uzito mdogo iweze kufanyiwa kazi na kupata maksi sahihi.

Aidha, Mbilla pia amekabidhi vibao 66 vya kupima urefu wa watoto na mizani 18 kwa Mganga Mkuu wa Manispaa.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WATOA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII 30 WAJENGEWA UWEZO

    July 14, 2025
  • MAKABURI 29 YA UFI UBUNGO KISIWANI YAHAMISHWA KUPISHA UPANUZI WA BARABARA.

    July 10, 2025
  • UBUNGO TAYARI TUPO KATIKA MAONESHO YA 49 YA KITAIFA YA BIASHARA 7'7, MNAKARIBISHWA

    June 30, 2025
  • SERIKALI YAZINDUA MADAWATI YA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KATIKA VITUO VYA USAFIRISHAJI.

    June 30, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.