• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KIKAO KAZI CHA TATHMINI YA AFUA ZA LISHE KUANZIA JANUARI - MACHI 2023

Posted on: June 23rd, 2023

Kikao hicho kimefanyika leo tarehe 23/6/2023 kilicholenga kufanya tathmini ya lishe kwa robo ya tatu ya mwaka wa fedha 2022/2023 na imezingatia hali ya lishe katika ilani ya chama cha mapinduzi na viashiria vya mkataba wa lishe wa ngazi ya kata.

Akiwasilisha taarifa ya afua za lishe afisa Lishe manispaa ya Ubungo Beatrice Mossile alisema kuwa kwa kipindi cha januari mpaka machi mafanikio yamepatikana ikiwemo kuongezeka kwa  klabu za afya na lishe kwa 6.9% hii ni kutokana na mafunzo yaliyofanyika kwa walimu,  idadi ya wamama wanaonyonyesha maziwa ya mama kwa kipindi cha miezi 6 pekee imeongezeka kufikia 4.3% kutokana na elimu inayoendelea kutolewa katika vituo vya kutolea huduma za afya.

Aliendela kwa kusema kuwa mafunzo elekezi ya ulaji wa chakula unaofaa yametolewa sambamba na malezi na makuzi ya watoto wanaoanza shule za awali kwa walezi wa vituo vya day care 76 na kuwapa fomu maalum za kujaza za ulaji wa chakula shuleni watakazo wasilisha kila mwezi na pia mafunzo kwa walimu wa afya 65 kuhusu maswala ya afua za lishe yamefanyika.

Alielezea pia matarajio ya lishe pamoja na  kuendelea na upimaji wa hali ya lishe hasa kwa watoto chini ya miaka miwili na kusisitiza unyonyeshaji wa maziwa ya mama kwa watoto chini ya miezi sita, Watoa huduma ngazi ya jamii kuendelea kutoa huduma ya upimaji wa hali ya lishe kwa kutumia MUAC tapes katika shule za awali na nyumba kwa nyumba Kuendelea kuhamasisha chakula cha pamoja katika shule za awali,msingi na sekondari, kuendelea kushirikiana na wadau mbalimbali katika kutekeleza afua za lishe na Kuendelea kuhakikisha uwepo wa chakula dawa katika vituo vikubwa vya serikali

Pia aliongezea katika kuhakikisha wananchi wanakuwa na uelewa kuhusu lishe kutakuwa na  maadhimisho ya siku ya lishe na afya katika mitaa na kata ili wananchi wa wilaya ya ubungo waendelee kufahamu masuala ya ulaji unaofaa na afya bora

Akiongea katika kikao hicho Katibu tawala wilaya ya ubungo Mhe. Hassan Mkwawa amewapongeza watendaji wa kata kwa usimamizi mzuri wa maswala ya lishe katika ngazi ya kata

Aliendelea kwa kusisitiza na kuwaagiza kusimamia maswala ya lishe kwa uadilifu


PICHANI ni katibu tawala wilaya ya ubungo Mhe.Hassan Mkwawa(wa katikati) akiwa na kaimu mkurugenzi pamoja na kaimu mganga mkuu katika kikao cha tathimini ya lishe 

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.