• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

KITUO CHA AFYA MBEZI CHA KABIDHIWA AMBULANCE MPYA

Posted on: January 12th, 2024

Manispaa ya Ubungo ina jumla ya wakazi 1,086,912 wanaume wakiwa 519,925 na wanawake 566,987 ambapo kati yao wanawake ambao wapo kwenye umri wa kuzaa ni 324,107 pamoja na watoto walio chini ya umri wa miaka mitano 113,442 ambao kimsingi wana uhitaji mkubwa wa huduma za dharura kutokana na changamoto mbalimbali za afya ambazo zina uhitaji wa rufaa na matibabu


Hayo yamesemwa na mganga mkuu wa Manispaa ya Ubungo Dkt. Tulitweni Mwinuka alipokua katika hafla ya kukabidhiwa gari jipya la wagonjwa (Ambulance) katika kituo cha Afya Mbezi jimbo la Kibamba ili liweze kusaidia wagonjwa wa rufaa na wanaohitaji matibabu ya dharura 


Kwa upande wake mgeni rasmi katika shughuli hiyo mbunge wa jimbo la Kibamba Mhe. Issa Jumanne Mtemvu ametumia nafasi hiyo kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kulitizama jimbo la Kibamba kwa ukaribu kwenye uboreshaji wa huduma za Afya 

"Huduma za afya katika Manispaa yetu zimezidi kuimarika maradufu ya ilivyokuwa hapo awali na tunazidi kuziboresha zaidi. Rais wetu ametupa pesa zaidi ya Milioni 500 kujenga kituo cha afya cha Goba na safari hii ametuletea gari hili jipya ili litusaidie kuokoa maisha ya watu. Ni jukumu letu kulitunza na kulitumia kwa matumizi lengwa" alisema Mtemvu

Nae kaimu mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Voster Mgina amempongeza mbunge kwa jitihada zake za kuboresha huduma za afya katika jimbo la Kibamba na amemuagiza mganga mkuu pamoja na mganga mfawidhi wa kituo cha afya Mbezi kuhakikisha gari hilo linatunzwa na kufanyiwa marekebisho stahiki kila mara inapobidi


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.