• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

LSF,TAWLA,MANISPAA YA UBUNGO ZANDUA MRADI WA HATI YANGU MAISHA YANGU

Posted on: August 6th, 2021

Shirika lisilo la kiserikali la legal services facility Kwa kushirikiana na chama cha wanasheria Tanzania (TAWLA) pamoja na Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imezindua mradi utakaowawezesha wanawake wanamiliki vipande vya ardhi katika Manispaa hiyo kupata hati za umiliki wa ARDHI zitakazowawezesha kujikwamua kiuchimi na kupata Elimu ya masuala ya ardhi.

Mradi huo ujulikanao *Hati yangu maisha yangu* umeanzishwa mahususi Kwa ajili ya kukabiliana na changamoto zinazowakumba wanawake wa hali ya chini ambao wanamiliki ardhi lakini wameshindwa kukamilisha zoezi la umilikishwaji kutokana na kushindwa kumudu Gharama za kupata hati.

 Akizungumza wakati uzinduzi WA mradi huo, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo alisema kuwa anawashukuru LSF ambao ni wafadhili  na TAWLA watekelezaji WA mradi kwa kutambua changamoto zinazowakabili wanawake katika jamii na kuamua kutekeleza mradi huo katika Manispaa ya Ubungo kwa  kata za Msigani, Mbezi, kwembe, Goba na Kibamba watakaopimiwa maeneo yao kwa kuchangia asilimia 20 tu ya Gharama hizo.

"Nitoe Rai Kwa wanawake wa kata husika kujitokeza Kwa wingi ili waweze kupata Elimu juu ya haki zao za kumiliki ardhi na fursa za kiuchumi pamoja na kipimiwa maeneo yao ambayo walishindwa kupima kutokana nakikwazo cha Gharama za upimaji" alisisitiza Beatrice

Aidha, Beatrice alieleza kuwa kupitia elimu itakayotolewa Kwa jamii itasaidia kuondoa dhana potofu juu ya wanawake katika kumiliki ardhi na faida zake kwani dhana hizo zimesababisha athari Kwa wanawake wengi.

Kwa upande wake Afisa Mtendaji Mkuu wa LSF Bi Lulu Ng'wanakilala alisema wanayo furaha kubuni mradi huo na kutoa ruzuku Kwa TAWLA kutekeleza mradi huo unaolenga zaidi kuboresha maisha ya wanawake na kupunguza umasikini.

Ng'wanakilala alifafanua kuwa mradi huo utawafikia wanawake takribani 2000 Kwa kuwapa Elimu na zaidi ya wanawake 300 watapata hati miliki zao Kwa kuchangia asilimia 20 ya gharama ya upimaji "wanawake wa Ubungo changamkieni fursa"

Nae Mkurugenzi Mkuu wa chama cha wanasheria wanawake Tanzania (TAWLA) Bi Tike Mwambipile alisema anaishukiru Serikali Kwa kuukubali mradi na ni matumaini yake kuwa programu ya *hati yangu maisha yangu* itachangia kupunguza umasikini Kwa wanawake wa Ubungo hasa Kwa kata tano ambazo zitamechaguliwa kutekeleza mradi huo Kwa mara ya kwanza.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.