• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MAADHIMISHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI YAFANA UBUNGO

Posted on: October 16th, 2023

Manispaa ya Ubungo imeadhimisha siku ya Chakula Duniani  tarehe 16 oktoba, 2023 na Maadhimisho hayo yameenda sambamba na Kauli mbiu isemayo "Maji ni maisha, Maji ni chakula hakuna wakuachwa nyuma"

Katika maadhimisho hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Manispaa ya Ubungo, mgeni rasmi alikua Mkuu wa Idara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Archie Mntambo ambaye pia amemwakilisha Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo alisema kuwa  maadhimisho haya huadhimishwa na nchi zaidi ya 130 duniani kwaajili ya kuhakikisha kila mtu anapata lishe bora

Mntambo, aliendelea kusema kuwa Kila mmoja anatakiwa kuhakikisha anakunywa maji ya kutosha na ndomana kauli mbiu ya mwaka huu inasisitiza juu ya umuhimu wa maji katika maisha ya binadamu

Maji yanatakiwa kwa kiasi na mtu mzima anatakiwa kunywa maji yasiyopungua glasi 6 kwa siku. Alisisitiza Mntambo

Mntambo, Alisisitiza kujihadhari na mvua zinazotarajiwa kunyesha "El-Nino" kwa kulima mazao yanayohitaji maji mengi ili kuendeleza usalama wa chakula.

Aidha, Afisa Kilimo Manispaa ya Ubungo Editha Chilongani alisisitiza watu kuzingatia ulaji wa vyakula kwa kuzingatia makundi ya mlo kamili ili kuujenga na kulinda mwili dhidi ya magonjwa 

Aliendelea kusema kuwa mlo kamili unahusisha makundi 6 ya vyakula na dunia ina adhimisha siku ya leo ya kilele cha siku ya chakula duniani

Nae, Mratibu wa siku ya chakula Wilaya ya Ubungo, Stella Nzelu alisema kuwa siku ya chakula duniani ilianzishwa mwaka 1979 na  shirika la FAO (shirika la chakula duniani) lengo ni kuujulisha umma umuhimu wa chakula

Aliendelea kusema kuwa, kutoka na kauli mbiu ya mwaka huu Maji yamechukua 80% katika maisha ya mwanadamu ili tuishi tunahitaji kunywa maji yakutosha na Maji katika maisha ya kawaida hutumika katika kilimo,ufugaji,kuoshea vitu mbalimbali vitumikavyo na binadamu

Alimalizi kwa kuwashukuru Wadau walioshiriki katika maadhimisho hayo ambao  ni IITA na wakulima walioonyesha mazao mbalimbali wanayozalisha sambamba na bidhaa zinazotokana na mazao hayo

Mkuu wa Idara ya Kilimo,uvuvi na mifugo Archie Mntambo akikagua vikundi mbalimbali vya wakulima vilivyoshiriki katika maadhimisho ya siku chakula


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.