• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MAADHIMISHO YA SIKU YA MAZINGIRA TAREHE 5 JUNI

Posted on: June 5th, 2021

YALIYOJIRI MAADHIMISHO YA SIKU YA MAingira duniani jijini Dar Es salaamIkiwa leo ni siku ya Mazingira duniani jiji la Dar Es salaam linaungana na Taifa na dunia Kwa ujumla kuadhimisha siku hii Kwa kauli mbiu isemayo Tumia nishati mbadala kuongoa mfumo wa ikolojia.

•Kutumia nishati mbadala ikiwemo gesi, Umeme na majiko banifu yanayobuniwa na wataalamu mbalimbali ili kuepuka matumizi ya mkaa ambapo Kwa siku moja jumla ya magunia 300,000 hutumika.

•Kupanda miti kwa wingi ili kupendezesha na kutunza mazingira yetu.Niwapongeze TFS kwa jitihada za Kupanda miti kwa wingi.

•Dar ina viwanda, hivyo naagiza wataalamu waendelee kufuatilia viwanda Vinavyotiririsha maji machafu yanayoharimu viumbe vya majini, Wito natoa sheria zitumike kwa wanaojihusisha na utiririshaji wa maji machafu kwenye Makazi ya watu pamoja na kwenye Mito


Bado uzalishaji, usambazaji na utumishi wa  mifuko ya plastic  bado upo,  natoa wito kwa wana Dar Es salaam kutumia vifungashio vilivyokubalika, Watendaji simamieni  Watendaji  ipasavyo marufuku ya mifuko ya llastiki

Katika Mkoa tuna mabonde mengi ikiwemo  mto  msimbazi wananchi wamekuwa wakitupa taka zinazoathiri viumbe hili nalo sisimamiwe

Uchimbaji wa mchanga ulenge kusafisha mito na sio vinginevyo wataalamu  simamieni ili kutopanua mito inayosababisha madhara kwa wananchi . Uchimbaji uwe kwenye mito iliyochaguliwa

Mkoa  unazalisha takribani tani 450,000 za taka,  Niwaagize wakurugenzi kutumia magari ya taka waliogawiwa yanafanye kazi ya kuzoa taka ili Manispaa zetu ziwe Safi

Usafi unaanzia ngazi za familia kwa kufanya usafi kila mwisho wa mwezi, wafanyabiashara wafanye usafi maeneo yao ya biashara. Serikali itachukua hatua Kwa watu wanaochafua mazingira

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.