• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MAAFISA MAENDELEO YA JAMII NA TASAF WAJENGEWA UWEZO KUHUSU MASWALA YA LISHE

Posted on: January 13th, 2023


Siku 1000 katika maisha ya mwanadamu ni muhimu sana, Kila mwanamke anatakiwa kuzingatia anapata lishe Bora pale tu anapojijua ni mjamzito ili kupata mtoto asiyekuwa na udumavu wala changamoto yoyote ya kiafya

Hayo yameelezwa Leo tarehe 13 Januari 2023  na Afisa lishe Manispaa ya ubungo Beatrice Mossile alipokuwa anatoa elimu kuhusu maswala ya lishe kwa maafisa maendeleo na Tasaf Manispaa ya ubungo ili waweze kutoa elimu hiyo katika ngazi ya jamii 

Ni muhimu mama kuhakikisha anakula mlo kamili anapojijua ni mjamzito na kuzingatia anapata madini ya chuma ili kuepusha kupata watoto wenye Afya dhaifu, vifo vya watoto wachanga na hata kupoteza maisha wanapojifungua. Alieleza hayo Mossile

Aliendelea kwa kusema kuwa ni muhimu  kuelimishe jamii kuhusu kula Mlo kamili kwa kuzingatia makundi matano, kundi la kwanza ni vyakula vya nafaka, mizizi na ndizi mbichi, kundi la pili ni mimea na wanyama, la tatu ni  mbogamboga, la nne ni matunda na la tano ni mafuta na sukari 

Aidha, Mossile aliendelea kuwakumbusha wakina mama wote pale tu unapojihisi ni mjamzito Kuhudhuria kliniki ni muhimu sana  hii kumlinda mtoto aliye tumboni kwani unapowai kufika katika kituo cha Afya inasaidia kupata huduma za Afya ya uzazi mapema ambapo itasaidia  katika ukuaji wa watoto na kusaidia kuzaliwa wakiwa na Afya nzuri 

Uzingatiaji na ulaji wa vyakula vyenye ubora kwa Afya husaidia kuepukana na magonjwa yasiyoambukiza na hata kuweka mwili kuwa imara


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WATOA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII 30 WAJENGEWA UWEZO

    July 14, 2025
  • MAKABURI 29 YA UFI UBUNGO KISIWANI YAHAMISHWA KUPISHA UPANUZI WA BARABARA.

    July 10, 2025
  • UBUNGO TAYARI TUPO KATIKA MAONESHO YA 49 YA KITAIFA YA BIASHARA 7'7, MNAKARIBISHWA

    June 30, 2025
  • SERIKALI YAZINDUA MADAWATI YA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KATIKA VITUO VYA USAFIRISHAJI.

    June 30, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.