• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MAAFISA MAZINGIRA WA KATA KUPIGWA MSASA

Posted on: June 15th, 2021

Shirika lisilo la kiserikali la Lawyers Environment Action Team (LEAT) kwa kushirikiana na Manispaa ya Ubungo  wamejipanga Kuja na mkakati wa kuhakikisha wanawajengea uwezo wataalam wa Mazingira ngazi ya kata kukabiliana na changamoto za kimazingira zinazotokea katika  kata  zao ikiwa ni moja ya mkakati wa kupunguza athari za kimazingira kwa wananchi.

Mkakati huo ulielezwa na Afisa Mazingira wa Manispaa ya Ubungo Ezra Guya  Wakati wa ziara  iliyofanyika  tarehe 14/6/2021 ya kutembelea maeneo ya Ubungo Kisiwani na Kibo yaliyopitiwa na Mto Gide ambao unasababisha maafa kwa wananchi ikiwemo nyumba kubomoka,  watu kushindwa  kuvuka na uhalibifu wa Mazingira kwa ujumla

" Kila afisa mazingira kwenye kata yake anatakiwa kuwaelimisha wananchi wapande miti, kutokutiririsha maji machafu kwenye mito  na kutokutupa taka  ili kutunza mazingira na pia kuepusha milipuko ya magonjwa yatokanayo na uchafu" alieleza Guya

Aidha, Guya aliwakumbusha wananchi kuzingatia Sheria ya kujenga makazi umbali wa mita 60 kutoka mtoni ilikuepusha madhara ya mafuriko na kubomolewa nyumba zao

" Ikumbukwe kuwa moja ya maeneo ambayo wananchi wana athiriwa na mafuriko   kipindi cha mvua ni yale yaliyo karibu na mito hivyo zingatieni kanuni ya kujenga umbali wa mita 60" alifafanua Ezra

Katika kuunga juhudi za Manispaa ya kukabiliana na changamoto za mazingira, Asasi ya  LEAT imeahidi kushirikiana na Manispaa katika kutatua changamoto za  mazingira katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye masoko,mito na maeneo mengine ilikuhakikisha mazingira yanakuwa safi.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.