• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MAAFISA UBUNGO WATOA CHANJO KWA NG"OMBE YA HOMA YA MAPAFU

Posted on: August 22nd, 2025

Katika kuhakikisha afya ya mifugo na kuinua kipato cha wafugaji, Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imeanza rasmi zoezi la utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapafu kwa ng’ombe, maarufu kama CBPP.

Zoezi hilo limeanza katika Kata ya Kwembe ambapo zaidi ya ng’ombe 100 wamechanjwa katika siku ya kwanza, kwa mujibu wa Afisa Mifugo Bi. Happy Ngonya

Chanjo hiyo inatolewa kwa ruzuku ya Serikali ya Awamu ya Sita kwa gharama ya shilingi 500 kwa kila ng’ombe mwenye umri wa kuanzia miezi sita, huku maafisa mifugo wakitembelea wafugaji moja kwa moja bila gharama yoyote ya ziada.

Afisa Mifugo wa Manispaa ya Ubungo ambaye ni sehemu ya zoezi hilo Bw. Festo Mmary ametoa wito kwa wafugaji kujitokeza kwa wingi, akisema chanjo hiyo inalinda ng’ombe dhidi ya ugonjwa hatari wa mapafu.

Wafugaji waliopokea huduma hiyo akiwemo Bw. Elias Mbwambo wameishukuru Halmashauri kwa kuwawezesha kupata chanjo kwa urahisi na gharama nafuu, na wamewataka wenzao kuchangamkia fursa hiyo adimu.

Zoezi hili linatarajiwa kuendelea kwa muda wa wiki tatu.

Homa ya mapafu ya ng’ombe inayosababibishwa na vimelea vya Mycoplasma mycoides subsp hushambulia mapafu na kusababisha homa na ugumu wa kupumua kwa ngombe.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • MIKOPO YA HALMASHAURI YACHOCHEA MAFANIKIO YA WAJASIRIAMALI

    September 30, 2025
  • UBUNGO YAAHIDI KUJIPANGA IMARA ZAIDI KWA MSIMU UJAO WA SHIMISEMITA | YAPOTEZA MBELE YA DODOMA JIJI

    August 29, 2025
  • WANANCHI MSIGANI WAANZA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA KILIMO MJINI.

    August 29, 2025
  • MAAFISA UBUNGO WATOA CHANJO KWA NG"OMBE YA HOMA YA MAPAFU

    August 22, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.