• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MAAFISA UGANI MANISPAA YA UBUNGO WAPEWA MAFUNZO REJEA KUHUSU MFUMO WA MOBILE - KILIMO( M-KILIMO)

Posted on: September 2nd, 2021

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic leo tarehe 2 septemba,2021  amefungua mafunzo elekezi kwa maafisa Ugani yaliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Manispaa hiyo   yenye lengo la kuwaongezea ujuzi na ustadi Kuhusuana na  mfumo wa MOBILE- KILIMO (M-kilimo) teknolojia ya kutumia simu ambao unalenga kusaidia wakulima,wafugaji na wavuvi kuyafikia masoko ya mazao kwa njia ya simu

Akiongea wakati wa kufungua mafunzo hayo   Beatrice amewataka maafisa Ugani hao kuhakikisha kila mmoja wao anazingatia mafunzo hayo  na baada ya kuwezeshwa waweze   kujengea uwezo Kaya 10  kuhusuana na maswala ya kilimo 

"Ni Fursa kwenu Kama maafisa Ugani wa mjini kuhamasisha kilimo hata Cha mbogamboga  Katika Kaya ili kilimo kiweze kuendelea na kukua" alielezea Beatrice 

Aidha muwezeshaji kutoka Katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Omari  Rajabu ameelezea mchango wa kilimo kwa taifa  ikiwemo kuongeza Pato la taifa 26.9% , ajira 58.1%, chakula Cha taifa 100% 

Aliendelea kwa kuwajengea uwezo wataalam hao namna sahihi  kutumia mfumo huo wa M-kilimo

Nae Mkuu wa Idara ya  kilimo,umwagiliaji na ushirika  Manispaa ya Ubungo Happiness Mbelle amemshukuru muwezeshaji na kuwataka maafisa Ugani kuzingatia mafunzo hayo na kuhakikisha wanayafanyia kazi hasa Katika swala la matumizi ya mfumo   yatayochochea tija Katika sekta ya kilimo

N.B Mafunzo hayo elekezi yaliyoanza leo  yatakafanyika kwa muda wa siku mbili na kumalizika kesho tarehe 3,septemb,2021





Attachments area










Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.