• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MAAZIMISHO YA MIAKA 61 UHURU, 9 DISEMBA

Posted on: December 9th, 2022


Tarehe 9 Disemba ni tarehe ambayo Nchi yetu imekuwa ikiazimisha siku ya Uhuru wake ambayo imekuwa ikiazimishwa kila mwaka lengo ikiwa ni kuendelea kuienzi, kujali na kuthamini juhudi kubwa zilizofanywa na Mwalimu Julius Kambarage Nyerere za kupigania uhuru tulionao.

Kwa umuhimu huo leo tarehe 09 Disemba, 2022 Manispaa ya Ubungo imeazimisha siku hiyo iliyoenda sambamba na kauli mbiu isemayo “Amani na umoja ni nguzo ya maendeleo yetu” kwa kufanya mdahalo wa kujadili mada mbalimbali juu ya maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii katika chuo kikuu cha Dar es salaam uliojumuisha wananchi, viongozi wa kisiasa na kidini, taasisi za umma, watumishi na wadau mbalimbali wa maendeleo wa Manispaa hiyo lengo ikiwa ni kupata fursa ya kila mmoja kujadili na kuchangia mada hizo.

Mada hizo zilitolewa na watu mbalimbali akiwemo Prof. Kitila Mkumbo mbunge wa jimbo la ubungo, Dr. Victoria Lihiru na Dr. Richard Mbunda ambao ni wahadhiri wa chuo kikuu cha Dar es Salaam ambao wameeleza kwa kipindi cha miaka 61 ya uhuru Tanzania imeweza kufikia maendeleo kwa nyanja mbalimbali ikiwemo elimu bure kuanzia darasa la awali hadi kidato cha sita, mpango wa kuhakikisha kila mwananchi anapata uhakika wa matibabu kwa kuwa na bima, ukopeshaji wa mikopo isiyo na riba kutokana na fedha za asilimia kumi za mapato ya ndani, kuwepo kwa viongozi wanawake kwenye nafasi za juu za uongozi nchini, na mengine mengi mazuri yanayoendelea kufanywa na Serikali ya awamu ya sita.

Akiongea wakati akifungua kongamano hilo Mhe. Kheri James Mkuu wa Wilaya ya Ubungo ameeleza tofauti na ilivyokuwa miaka ya nyuma kwa mwaka huu maazimisho hayo yatafanyika kwa kufanya  shughuli mbalimbali za kijamii, kufanya mdahalo na michezo mbalimbali kama ambavyo Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa awamu ya sita alivyoeleza na kumpongeza kwa uamuzi wa kupeleka fedha za maadhimisho hayo kufanya ujenzi wa mabweni ya wasichana kwa shule mbalimbali za sekondari nchini.

“Kuazimisha maazimisho hayo kwa njia ya mdahalo ni kupata nafasi ya kutoa elimu zaidi ya kurithisha ujuzi, historia na maarifa ya tulipotoka, tulipo na tunapokwenda kwa kizazi na kwa makundi ya kijamii ili kila mmoja ayajue vizuri.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.