• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MAFUNZO ELEKEZI YA KUTUMIA MFUMO WA SBRS YATOLEWA UBUNGO

Posted on: December 6th, 2023

Msajili wa Vizazi na Vifo RITA kwa kushirikiana na Manispaa ya Ubungo imetoa mafunzo ya Ufunguzi wa usajili wa vizazi kwa watoto chini ya umri wa miaka 5 kwa kutumia mfumo mpya wa SIMPLYFIED BIRTH REGISTRATION SYSTEM (SBRS) kwa watendaji wa Kata, watendaji wa Mitaa na watumishi kutoka katika vituo vya kutolea huduma za afya vinavyotoa huduma ya mama,baba na mtoto ambapo mafunzo hayo yamefadhiliwa  na shirika la kuhudumia watoto Duniani (UNICEF)

Akifungua mafunzo hayo tarehe 6 disemba, 2023 Mwakilishi wa Katibu Tawala Wilaya ya Ubungo Diana Nkarage amesema kuwa, zoezi hilo ni kwa mujibu wa sheria ya vizazi na vifo sura namba 108 ya sheria  ya mwaka 2019  inayompa mamlaka msajili wa vizazi na vifo Rita kumuelekeza msajili kuwezesha mafunzo ya usajili  kwenye vituo vya kutolea huduma ya mama,baba na mtoto

Diana alieleza kuwa, zoezi hilo linaenda kusaidia Serikali kupata idadi ya watoto waliopo chini ya umri wa miaka 5 katika  Wilaya hiyo na litasaidia Serikali katika kuendesha zoezi la  uandikishaji wa wanafunzi wa darasa la kwanza katika kipindi cha  miaka miwili ijayo.

Diana aliendelea kueleza kuwa, katika maswala ya afya zoezi litasaidia Serikali kujua idadi ya watoto ili iweze  kuelekeza nguvu ya  utoaji wa huduma ikiwemo malezi n.k

"Niwaombe mkaifanye kazi hii kwa kufata miongozo na mzingatie weledi, umahili na uzalendo katika kufanya kazi hii" alisisitiza Diana

Nae, Asnath Barnabas Afisa ulinzi wa watoto kutoka UNICEF, ameipongeza Serikali kwa hatua iliyofikia ya kutoa mafunzo kuelekea kwenye uzinduzi wa mfumo huo mpya wa usajili wa watoto ambao wako chini ya miaka mitano utakaofanyika tarehe 8 Desemba,2023.

Aliendelea kusema kuwa UNICEF pamoja na  SERIKALI YA CANADA na TIGO itasaidiana na Serikali ya Tanzania katika kuhakikisha zoezi la kusajili watoto linafanya kwa weledi.

Nae, Zainabu Masilamba Afisa Ustawi Manispaa ya Ubungo ambaye pia ni  mratibu wa zoezi hilo ameishukuru Rita kwa kusaidia zoezi hilo ambalo linaenda kuwafikia watoto wengi ambao awajasajiliwa na pia  amesisitiza kwa wanaopewa mafunzo kuhakikisha zoezi hilo linanyika kwa ufanisi
















Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.