• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MAFUNZO YA MFUMO WA MADENI YA WATUMISHI SERIKALINI YAFANYIKA MANISPAA YA UBUNGO

Posted on: August 17th, 2020

Mafunzo hayo yametolewa na Mwezeshaji  wa mifumo kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI   Ndg.Deogratus Charles Nyati na kufunguliwa na mwakilishi wa Mkurugenzi  ambaye pia ni Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya jamii Manispaa ya Ubungo Rose Mpeleta katika ukumbi uliopo Ofisi ya mkuu wa Wilaya Luguruni.

Dhumuni la mafunzo hayo ni kubaini namna bora ya kufuatilia na kusimamia madai na madeni mbalimbali ya watumishi yasiyokuwa ya  mishahara.

Aidha faida za kutolewa kwa mafunzo hayo ya madeni management Information  system(MadeniMIS) ni kupunguza malalamiko ya watumishi na kuongeza maadili na ufanisi katika kazi.

Sambamba na hayo Mwezeshaji alisema kuwa mafunzo hayo ni agizo la Mhe.Rais wa awamu ya tano Dr.John Pombe Magufuli siku ya Mei Mosi mwaka huu utengenezwe mfumo ambao utakusanya madeni ya watumishi na kwa sasa serikali inaendelea kushughulikia madeni halali yakiwepo ya walimu ambayo tayari yameshaanza kulipwa.

Nae Mwakilishi wa Mkurugenzi aliendelea kusisitiza kwa wahusika watakao tumia mfumo huo kuwa waadilifu na kuishukuru ofisi ya Rais- TAMISEMI kwa kuwezesha mfumo wa Madeni na madai ya watumishi.

N.B Mafunzo hayo yanafanyika kwa siku mbili na yatamalizika kesho  tarehe 18/8/2020

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.