• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MAKABURI 29 YA UFI UBUNGO KISIWANI YAHAMISHWA KUPISHA UPANUZI WA BARABARA.

Posted on: July 10th, 2025

Jumla ya Makaburi 29 yamehamishwa katika eneo la Makaburi ya Ufi yaliyopo mtaa wa Kisiwani kata ya Ubungo na kupelekwa makaburi ya Serikali ya Mianzini, mtaa wa kwa Jongo kata ya Makurumla ili kupisha upanuzi wa barabara ya Ubungo - Kimara awamu ya kwanza BRT A.

Shughuli hiyo iliyofanyika Julai 10, 2025 imehusisha uhamishaji wa masalia ya miili 29, 8 ya Waislam na 21 ya Wakristo ambapo kati ya makaburi 29, Makaburi 6 ndugu zao hawakujitoza ambapo kati ya hayo, Makaburi Manne yametambuliwa kwa majina yaliyokuwepo kwenye makaburi huku Mawili pekee ndiyo yakishindwa kutambuliwa kabisa.

Akizungumzia zoezi hilo Afisa Afya Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Bw. Hassan Chitu amesema Makaburi yaliyohamishwa ni yale yaliyopo karibu na barabara hiyo ya Ufi ( Ubungo Maziwa - Shekilango ) kama ambavyo yameainishwa na Mpimaji (Surveyor) wa ujenzi wa mradi huo wa barabara inayotarajiwa kujengwa kwa kiwango cha lami.

Ujenzi huo wa barabara unatekelezwa na Mkandarasi wa China Sichuan Road and Bridge Group Corporation Ltd (SRBG) anayehusika na upanuzi wa Barabara ya Ubungo -  Kimara na barabara Shikizi za Morogoro na Kawawa.

Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa Jumatano ya Septemba 25, 2024, Mkandarasi SRGB alitoa siku 7 hadi Oktoba 2, 2024 ndugu kujitokeza ofisi za Serikali ya Mtaa wa Kisiwani kwaajili ya utambuzi kabla ya kuhamishwa ambapo zaidi ya ndugu 100 walijitokeza.

"Kwa mujibu wa sheria ya uhamishaji wa makaburi ya Februari 6, 1969 inataka matangazo yatolewe miezi mitatu kabla. Na sisi, Matangazo yalitolewa kwenye vyombo vyote vya habari, ikiwemo Redio, Magazeti, na televisheni" amesema Chitu

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Mtaa wa Kisiwani, Ovin Ndimbo amesema ndugu walijitokeza katika ofisi hizo baada ya kupata taarifa zilizokuwa zinatolewa na mkandarasi huyo maeneo mbalimbali ikiwemo misikitini na makanisani.

"Zoezi limeenda vizuri, tulichokifanya kama viongozi ilikuwa ni kukusanya taarifa na orodha ya watu wote halafu michakato mingine imesimamiwa na mkandarasi."- amesema Ndimbo

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • WATOA HUDUMA ZA AFYA NGAZI YA JAMII 30 WAJENGEWA UWEZO

    July 14, 2025
  • MAKABURI 29 YA UFI UBUNGO KISIWANI YAHAMISHWA KUPISHA UPANUZI WA BARABARA.

    July 10, 2025
  • UBUNGO TAYARI TUPO KATIKA MAONESHO YA 49 YA KITAIFA YA BIASHARA 7'7, MNAKARIBISHWA

    June 30, 2025
  • SERIKALI YAZINDUA MADAWATI YA HUDUMA ZA USTAWI WA JAMII KATIKA VITUO VYA USAFIRISHAJI.

    June 30, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.