• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MAKAMPUNI YA URASIMISHAJI YATAKIWA KUMALIZA KAZI YAO HARAKA

Posted on: November 3rd, 2021

Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi Mheshimiwa Angelina Mabula ameyataka Makapuni ya urasimishaji na upimaji Ardhi katika wilaya ya Ubungo  kukamilisha kazi hiyo ipasavyo na kwa wakati ili kuondoa kero ya wananchi ya kutopata hati za umilikishwaji wa ardhi kwa muda mrefu

Mabula ametoa maelekezo hayo   Novemba 03,2021 kwenye kikao kazi kilichohusisha makampuni hayo na wataalam wa ardhi wa Manispaa hiyo kutokana na uwepo wa malalamiko kwa wananchi juu ya ucheleweshwaji wa  upatikanaji wa hati pamoja na wananchi kuwa wameshalipia gharama za upimaji

"Mnapenda kazi za chapuchapu kwa Kutumia watu wasiohusika, haiwezekani michoro yote ikataliwe lazima kuna shida ikiwemo kupima eneo Mara mbili ili mpate viwanja vingi, hii haikubaliki hatua zitachukuliwa" alieleza  Mabula

Pamoja na kuyaelekeza makampuni kutekeleza kazi zao kwa wakati, Naibu Waziri amewaelekeza wataalamu wa Ardhi wa  Manispaa ya Ubungo 

 kuzuia Ujenzi holela katika maeneo mbalimabali kwa kuhakikisha wanajenga baada ya kupata  kibali  Cha ujenzi.



Ili kupunguza migogoro ya ardhi inayosababishwa na uelewa mdogo wa masuala ya ardhi, Naibu Waziri  amewaelekeza  wataalam  ardhi  kutoa elimu kwa wananchi kuhusu  Urasimishaji na masuala yote ya ardhi  ili wananchi waweze kuwa na uelewa wa kutosha.


Akisoma taarifa ya utekelezaji julai hadi oktoba 2021 Afisa Ardhi Manispaa ya Ubungo Fadhili Hussein  amesema kuwa jumla ya migogoro ya Ardhi  171 imepokelewa na migogoro 89 imepatiwa ufumbuzi , migogoro 41 ofisi inaendelea kuitafutia ufumbuzi na 41 inashughulikiwa ngazi ya mahakama  


Aliendelea kusema kuwa Halmashauri ilipokea maombi 17 ya wananchi na jumla ya leseni mpya za makazi 14 zilitolewa kwa wananchi  na leseni 708 zimelejeshwa kwa matumizi mbalimbali 


Vibali vya ujenzi 237  kutoka kwenye maombi 372 vimepitishwa ikiwa ni hatua ya kuhakikisha miji inapangwa inavyotakiwa.


Manispaa ya Ubungo ina jumla ya mitaa 61 ambayo zoezi la urasimishaji unatekelezwa na utekelezaji huo unafanyika kwa kushirikisha makampuni binafsi ya upangaji na upimaji yaliyosajiliwa kwa kujibu wa Sheria 


Aidha hadi kufikia mwezi oktoba 2021 jumla ya maeneo 181,390 yametambuliwa, michoro ya mipangomiji 503 yenye jumla ya viwanja 176,350 imendaliwa na kuidhinishwa,  aidha viwanja 74,563 vipo katika hatua za awali za upimaji , viwanja 17,776 vimepimwa na kusajiliwa  na jumla ya viwanja 3,158 vimeandaliwa hati miliki





2 Attachments


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.