• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MAKARANI WANOLEWA KUANZA KAZI ZOEZI LA UANDIKISHAJI ORODHA YA WAPIGA KURA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NOVEMBA 27, 2024

Posted on: October 7th, 2024

Manispaa ya Ubungo leo tarehe 7/10/2024 imetoa mafunzo kwa Makarani waandikishaji wa orodha ya wapiga kura katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali ya Mtaa 2024 zoezi litakalofanyika kwa muda wa siku 10 kuanzia tarehe 11 oktoba hadi 20 oktoba 2024


Mafunzo hayo yaliyoambatana na  ulaji wa viapo vya uadilifu na utunzaji wa siri ni  mwendelezo wa maandalizi  ya zoezi la uchaguzi ambalo litafanyika mwezi novemba tarehe 27 ambapo waliojiondikisha ndio watapata haki ya kupigia kura viongozi wa mtaa kwa nafasi ya Mwenyekiti na  wajumbe wa kamati ya maendeleo ya mtaa.

Akifungua mafunzo hayo ambayo yatafanyika kwa muda wa siku mbili,  Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi Manispaa ya Ubungo Bi. Kissah Mbilla amewataka Makalani waandikishaji  kuzingatia kanuni, sheria,  miongozo na Maelekezo  ya serikali katika zoezi hilo ili kufikia lengo la kuandikisha watu wote wenye sifa za kupiga kura.

Aliendelea kuwaeleza kuwa ni muhimu kila mmoja kuzingatia muda wa kazi kwa kuwahi mapema katika kituo chake na kufuata yale yote watakayofundishwa katika mafunzo hayo

"Kila mmoja azingatie kiapo alichoapa na hii kazi inahitaji kuwa mwaminifu" amewasisitiza Mbilla


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.