• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MANISPAA YA UBUNGO YAJIPANGA KUTOA ELIMU YA KUZINGATIA LISHE HASA KWA WATOTO

Posted on: November 17th, 2021

katika kuleta maboresho ya utoaji wa huduma ya lishe  kwa Jamii, wajumbe wa kamati ya lishe Manispaa ya Ubungo  wamelenga kujikita katika kuhalikisha  utoaji wa elimu ya lishe  kwa wanafunzi mashuleni linatiliwa kipaumbele  pamoja na wajawazito na watoto wa chini ya miaka mitano kupatiwa lishe Bora

 Akiwasilisha taarifa ya ya bajeti ya awali ya Lishe ngazi Halmashauri, Afisa lishe Manispaa ya Ubungo Betrice  Mossile ameelezea  matumizi na mafanikio ya bajeti ya Lishe  kwa  mwaka 2020/2021  na kujadili namna bora ya kuboresha  bajeti hiyo ya  awali ikiwa inalenga kuleta ustawi mzuri wa Lishe

Mossile amesema kuwa  elimu ya lishe kwa wanafunzi waliopo katika Manispaa ya Ubungo imewezwa kutolewa kwa  wanafunzi 46,431 kwa shule za msingi za Goba, Reginald Mengi, Mugabe, Mashujaa, Kwembe, Mpiji Magohe, na 6,032 kwa shule za sekondari  za Manzese, Mugabe na Mabibo

Kufanya Mafunzo ya lishe na usalama wa chakula kwa walezi majumbani.

Aliendelea kwa kusema kuwa Vifaa vya ujumbe wa lishe vilivyoandaliwa na fedha za Manispaa vimesaidia kufikisha ujumbe kwa jamii kwa njia rahisi.

Aidha alieleza  malengo ambayo yanaendelea kuboreshwa kwaajili ya kuleta maendeleo ya Lishe Manispaa ya Ubungo ikiwemo utoaji wa elimu ya mafunzo ya lishe kwa watoa huduma ngazi ya jamii 115 kwa mwaka wa fedha ujao.

Kuendesha tena kampeni za lishe na magonjwa yasiyoambukiza kwa wafanyakazi na Manispaa ya Ubungo kwa mwaka wa fedha ujao.

Kuwatembelea watoa huduma ngazi ya jamii kwa ajili ya kuandaa bajeti ya mwaka wa fedha kwa 2021/2022.

Kuendelea kutathmini na kutoa elimu ya lishe kwa ngazi ya jamii pamoja na mashuleni.




Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.