• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MANISPAA YA UBUNGO YAFANYA KIKAO NA WAKANDARASI UJENZI WA MADARASA 151

Posted on: October 18th, 2021

Manispaa ya Ubungo imekutana na wakandarasi  mbalimbali ikiwa ni hatua ya kuanza maandalizi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa 151 kwa shule za Sekondari katika Manispaa hiyo kupitia mgao wa  fedha zilizotolewa na Mheshimiwa Rais wa Jamuhuli ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  Kwa ajili ya kumaliza changamoto ya upungufu wa  madarasa  

Ujenzi wa vyumba hivyo 151 utawezesha wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga kidato cha Kwanza Kwa mwaka 2022 kuwa na mazingira mazuri ya kujifunzia.

Akiongea wakati wa kufungua kikao hicho Oktoba 18,2021 Mkurugenzi wa Manispaa ya hiyo, Beatrice Dominic amesema kuwa lengo la kikao hicho ni kuweka mpango Mkakati  wa pamoja wa kuanza ujenzi wa madarasa hayo mapema iwezekanavyo ili kufikia mwezi desemba nyumba vyote viwe vimekamilika.

"Ninyi ni wadau muhimu Sana, Nawaomba  tushirikiane katika utekelezaji  wa mradi huu kwani najua uwezo na utaalamu  mnao  mfano mzuri tuliweza kujenga madarasa 9 shule ya Msingi king'ongo ndani ya mwezi mmoja, nina amini tukishirikiana tunaweza kukamilisha ujenzi huu  kwa wakati kwani fedha zitakuwepo" alieleza Beatrice.

Aidha Beatrice  amemshukuru Mheshimiwa Rais kwa kutoa fedha shilingi bilioni 3.02 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa 151 kwa shule za Sekondari

"Kwa maeneo yote ambayo miradi hii inatekelezwa, Beatrice ametoa wito Kwa wananchi wa maeneo hayo kutoa ushirikiano kwa wakandarasi watakaopagwa kwenye maeneo yao ikiwemo kuhakikisha  vifaa vya ujenzi haviibiwi" alieleza Beatrice

Akiongea kwa niaba ya wa wakandarasi wenzake waliohudhuria kiako hicho Milton Joseph amesema kuwa wanaishukuru Serikali kwa kuwamini tena wakandarasi  kutekeleza miradi ya maendeleo tuna ahidi kuifanya kazi hiyo kwa uadilifu na weledi mkubwa ili kuionesha Serikali kuwa tunaweza  kujenga Kwa viwango vinavyotakiwa na kwa wakati

Aidha, Wakandarasi wameishukuru Manispaa Kwa kuona umuhimu wa kukutana nasi Kwa lengo la kuweka mikakati ya pamoja namna ya  tutafanikisha kazi hiyo kwa wakati, urahisi na ufanisi mkubwa.

"Tamko rasmi la Mheshimiwa Rais kuamuru wakandarasi wahusike kujenga madarasa haya Badala ya mfumo wa zamani wa "Force account" ni hatua kubwa Sana kwetu Kwa sababu ni muda sasa wakandarasi walikuwa hawahusishwi kwenye utekelezaji wa miradi ya Maendeleo" alisema Joseph



Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.