• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MANISPAA YA UBUNGO YAPOKEA UGENI KUTOKA CANADA

Posted on: January 14th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. KISARE MAKORI na Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo BEATRICE DOMINIC leo hii wamewapokea wabunge 2 wa Bunge la CANADA wakiongozana na  wajumbe  wengine kutoka  Nchini CANADA.  Wageni hao  wamefika Manispaa ya Ubungo  lengo kuu likiwa ni kuona matumizi ya vishkwambi (tablets) na chanjo ambazo zinafadhiliwa na  shirika la GAVI ambalo    Canada ni mdau mmoja wapo wa shirika hilo linalosaidia maswala ya Chanjo Duniani.

Nishukuru kwa ujio wenu na msaada ambao tumeupata kutoka kwenu kwani inaonyesha ni jinsi gani mmekuwa na ukaribu mzuri na ushirikiano wenu kwetu umekua mzuri katika kuleta maendeleo katika zahanati zetu za Wilaya ya Ubungo  kwa kutoa vifaa ambavyo  vinasaidia wananchi wetu na kuleta maendeleo katika utoaji na upatikanaji wa taarifa kiteknolojia kwa kutumia Vishikwambi (tablet)na chanjo ambazo zinasaidia kwa watoto ambao wapo katika umri wa chini ya miaka mitano kwani inasaidia katika kuleta kizazi chenye afya nzuri kwa taifa”.  Alisema Mkuu wa Wilaya.

Nae Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic  alishukuru kwa ujio wao na msaada ambao wameutoa  kwa Wananchi wa Manispaa ya Ubungo kwa kupata mfumo mpya wa utunzaji wa taarifa kwa kutumia Vishikwambi (tablet) na  maendeleo kwa ujumla ambayo Zahanati zetu za Manispaa ya Ubungo  imepata hasa chanjo ambazo zinafadhiliwa na shirika hilo

Nipende kuwakaribisha tena na sisi kama Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo tutahakikisha wananchi wanapata huduma  Bora za afya  ili kuondoa umasikini na kukuza uchumi wetu kama lilivyo lengo la  serikali ya awamu ya tano. Nia ya halmashauri ni kuhakikisha kuwa misaada inayotolewa na wafadhili hawa inatumika kwa lengo lililokusudiwa na si vinginevyo. Aliongeza Mkurugenzi

Pia Mganga mkuu wa Manispaa ya Ubungo Dk.Peter Nsanya  kwa kumalizia alitoa pongezi na shukrani za pekee kwa ugeni uliokuja kwa msaada ambao wameutoa kwani umewezesha maendeleo ya  zahanati kwa  kusaidia  wauguzi kupunguza kazi ya kujaza vitabu pindi mteja anapofika kupata huduma.. Mfumo huo utatoka taarifa sahihi na kwa wakati za chanjo na wateja.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.