• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MANISPAA YA UBUNGO YAPOKEA UGENI KUTOKA OR - TAMISEMI NA WADAU WA MNYORORO WA UGAVI NA USAMBAZAJI WA BIDHAA ZA AFYA

Posted on: May 17th, 2022

KIKAO KAZI 


Manispaa ya Ubungo leo tarehe 17 Mei ,2022  imepokea ugeni kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa -Tamisemi na wadau wa Mnyororo wa Ugavi na Usambazaji ambao walifika kuona utekelezaji wa mkakati wa Impact Team  ambao unalenga kutumia takwimu za bidhaa za afya katika kufanya maamuzi kama timu yenye lengo la kuboresha upatikanaji wa bidhaa za afya katika Vituo vya kutolea huduma za afya.


Akizungumza wakati wa kikao hicho Mfamasia wa  Manispaa ya Ubungo Bi. Doris Mollel  amezungumzia kuwa  ujio wa ugeni huo ambao umeleta manufaa katika kuwajengea uwezo zaidi wataalamu wa afya katika  kuboresha takwimu za bidhaa za afya sambamba na kutoa elimu ambayo impact team Manispaa ya Ubungo inaenda kuifanyia kazi 


"Mbinu ya Impact Team imetusaidia kwa kiwango kikubwa kukabiliana na changamoto mbalimbali za takwimu za bidhaa za afya na hivyo kuongeza kiwango cha dawa katika vituo vyetu lakini pia tumepokea elimu ambayo itaenda kutupa mwelekeo katika kuweka mbinu zaidi ambazo zitaenda kukabili changamoto ya bidhaa za Afya kwa kuhakikisha   zinapatikana muda wote katika vituo vya kutolea huduma. Alieleza Doris


Aidha, Ndg.Deus James Mfamasia na mwezeshaji wa Impact Team Approach wa kitaifa amewapongeza watumishi wa Idara ya Afya kupitia Impact team kwa kazi kubwa wanayofanya na kuwaaasa waendelee kufanya kazi kwa weledi na kuhakikisha uendeshaji wa mfumo wa  Bidhaa za Afya  katika Vituo unafanyika vizuri.


Nae Ondo Baraka mdau kutoka USA Global Health ambaye anafanya kazi na Wizara ya Afya katika kusaidia mifumo ya ugavi na usambazaji wa bidhaa za afya amezungumzia swala la ufuatiliaji wa afua za mnyororo wa ugavi na usambazaji wa bidhaa za Afya katika Vituo na katika eneo zima la kuchakata Data kuwa ni suala endelevu na linalotakiwa kupewa kipaumbele ili kuhakikisha wateja wanapata dawa muda wote.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.