• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MANISPAA YA UBUNGO YAPONGEZWA KWA NAMNA INAVYOTEKELEZA MIRADI YAKE KWA KUTUMIA MAPATO YA NDANI

Posted on: June 26th, 2020

Hayo yametoke tarehe 26/6/2020  wakati wa Ziara ya Naibu waziri wa OR- Tamisemi  MHE.JOSEPHAT KANDEGE alipotembelea Manispaa hiyo na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe.Kisare Makori, Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Beatrice Dominic, Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo  Ndg.James Mkumbo , Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Maafisa Tarafa wa jimbo la kibamba na Ubungo, na Wataalam Kutoka Manispaa ya Ubungo.

Katika  ziara hiyo miradi iliyotembelewa ni Mradi wa ujenzi wa Ofisi za Manispaa uliopo Luguruni, Mradi wa Ujenzi wa ofisi za Walimu, madarasa mawili na  matundu 12  ya vyoo katika Shule ya Sekondari ya Kwembe, Mradi wa Ujenzi wa Zahanati ya Kibamba iliyopo Kata ya Kwembe na Mradi wa ujenzi wa Kituo cha afya cha Kimara.

la ziara hiyo ni kufuatilia namna Manispaa ya Ubungo inavyokusanya mapato na matumizi ya fedha hizo zinazotokana na makusanyo hayo katika kuwaletea wananchi maendeleo.
Aidha Mhe.Kandege amepongeza  Manispaa ya Ubungo inavyotekeleza miradi ya maendeleo kwa kiwango cha juu na  kuonyesha utofauti katika  uendeshaji wa miradi hiyo  kwa kutumia fedha za mapato ya ndani.

Miradi inaenda vizuri, ubunifu wa majengo umekizi vigezo  Halmashauri nyingine zinaweza kuiga mfano huu kutoka Ubungo mmeweza kuendeleza  miradi kwa mapato ya ndani  bila kusubiri pesa kutoka serikali kuu"*Aliongeza Mhe.Naibu Waziri

Sambamba na hilo amewapongeza wataalam wa Manispaa kwa kujipanga ipasavyo katika swala zima la usimamizi wa miradi, Mmeonyesha utofauti  mkaendeleze  juhudi hizi ili kuleta  maendeleo  kwa jamii.





















































































































































Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.