• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MASHINDANO YA SHIMISEMITA 2023 YAFUNGWA RASMI LEO

Posted on: October 30th, 2023

Mashindano ya Shirikisho la Michezo Serikali za Mitaa Tanzania ‘SHIMISEMITA’  yaliyoenda sambamba na kauli mbiu isemayo “Imarisha Afya Na Mahusiano Kazini Kwa Maendeleo ya Nchi” yaliyokuwa yakiendelea Mkoani Dodoma katika viwanja vya Jamhuri na Dodoma Sekondari yamefungwa rasmi  tarehe 30/10/2023.

Akiongea wakati anafunga mashindano hayo naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Dkt. Edwin Msonde amezitaka Halmashauri zote Nchini kuhakikisha zinashiriki kikamirifu mashindano hayo ambayo hufanyika kila mwaka.

“Michezo inaimarisha afya, mahusiano, uzalendo na inadumisha utamaduni wetu, hata mara baada ya mashindano haya msiache michezo muwapo kwenye Halmashauri zenu” Alisisitiza Msonde

Aidha, Msonde amewapongeza Viongozi wote walioandaa mashindano hayo ambayo yanatija kwa watumishi na Taifa kwa ujumla kama ambavyo kauli mbiu inajieleza.

Sambamba na pongezi hizo pia Msonde amezipongeza Halmashauri zote zilizoshiriki Mashindano hayo ambapo watumishi mbalimbali wana michezo wamepata fursa ya kuimarisha mahusiano na watumishi wa Halmashauri zingine Nchini.

Akisoma taarifa ya mashindano hayo Katibu Mkuu wa SHIMISEMITA Taifa Ndg. Henry Kapela ameeleza kuwa mashindano hayo ambayo yalianza rasmi mnamo tarehe 18/10/2023 yakiwa na jumla ya Halmashauri 72 zilizoshiriki zenye zaidi ya wanamichezo ‘watumishi’ 1500.

Kapela ameeleza kuwa katika mashindano hayo michezo mbalimbali imeshindaniwa ukiwemo mchezo wa riadha, mpira wa pete, mpira wa miguu, valleyball, handball, kuvuta kamba, karata, bao, darts, drafti, pooltable, ngoma za asili na uchoraji ambapo washindi wa michezo hiyo wamepatiwa zawadi mbalimbali ikiwemo makombe na medali.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa SHIMISEMITA Taifa Mhe. Jeshi Lupembe ameipongeza TAMISEMI kwa kuruhusu watumishi hayo kushiriki mashindano hayo

Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo ni moja kati ya Halamshauri ambazo zimeshiriki mashindano hayo na kufanikiwa kupata cheti cha ushiriki

Aidha, timu ya netiball ya Manispaa hiyo ilifanikiwa kufika hatua ya robo fainali ambapo ilitolewa kwa tofauti ya goli 25 - 21 dhidi ya Ilala Jiji


pichani ni viongozi walioshiriki katika ufungaji wa michezo ya Shimisemita Dodoma














Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.