• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MGOGORO WA ARDHI KINZUDI KUFIKA MWISHO

Posted on: May 10th, 2023

MGOGORO WA ARDHI KINZUDI KUFIKA MWISHO


Manispaa ya Ubungo imemaliza mgogoro wa ardhi eneo la kwa mzungu lililopo Kinzudi kata ya Goba baada ya viongozi wa Manispaa hiyo kukutana na viongozi wa Manispaa ya Kinondoni ili kujiridhisha kuwa eneo hilo lipo Manispaa ya Ubungo.


Mgogoro huo uliibuliwa na Diwani wa Kata ya Goba Mh. Esther Ndoha kufuatia eneo linalomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo kuvamiwa na watu akiwemo mfanyabiashara Macdonald huku akidai kuwa eneo hilo lipo Manispaa ya kinondoni na wana vielelezo jambo lililopelekea wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Mameya na wataalamu kutoka Wilaya zote mbili kufika kwenye eneo hilo la kinzudi.

Akizungumza katika baraza la Madiwani la robo ya tatu ya mwaka 2022/2023 la Manispaa ya Ubungo lililofanyika tarehe 09 Mei, 2023 Mkuu wa Wilaya hiyo Mhe. Hashim Komba amesema wataalamu kutoka pande zote mbili hususani Kinondoni wamethibitisha kuwa eneo hilo lipo Manispaa ya Ubungo na ameagiza Manispaa hiyo kuhakikisha maeneo yote yanayomilikiwa na Manispaa hiyo yanapimwa na kuwa na hati ya umiliki ili kuepuka uvamizi wa maeneo hayo.


Aidha, Mhe. Komba amewataka Madiwani na watendaji wa Manispaa hiyo kusimamia ukusanyaji wa mapato na kuziba mianya ya upotevu wa fedha ili kuweza kukamilisha utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Ndg. Beatrice Dominic amesema Manispaa itahakikisha ukusanyaji wa mapato unasimamiwa vizuri ikiwa ni pamoja na kutekeleza na kusimamia miradi ya Maendeleo.


Nae Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mhe. Jaffary Juma Nyaigesha mbali na kuweka msisitizo kwenye ukusanyaji wa mapato amesema eneo lililovamiwa Kinzudi litalindwa na wavamizi wote wataondolewa na litaendelea kuwa ni eneo la Manispaa hiyo.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.