• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MIRADI YENYE TIJA, CHACHU YA MAENDELEO

Posted on: August 2nd, 2021

Wataalamu kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( TAMISEMI)  wameipongeza Manispaa ya Ubungo kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo inayolenga kuboresha huduma na kuinua wananchi kiuchumi kupitia mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani

Timu hiyo iliyoongozwa na Mkurugenzi msaidizi wa Serikali za Mitaa TAMISEMI Ndugu Ibrahim Minja ,imetoa pongezi hizo jana Agosti 2, 2021 baada ya kukagua jumla ya miradi 9 ya Maendeleo ambapo miradi 7 ni ujenzi   wa miundombinu na miradi 2 ya vikundi vya wajasiriamali  yenye thamani ya thamani ya zaidi ya  shilingi bilioni 59 ambapo kati ya Fedha hizo shilingi milioni 300 ni fedha za mapato ya ndani na kusema kuwa utekelezaji wa miradi hiyo ni chachu ya maendeleo kwa wananchi wa Manispaa hiyo

Timu pia ilisema "Tumeridhishwa na miradi tuliyotembelea iko vizuri, nawapongeza Kwa kuwa na vikundi venye miradi yenye tija ambavyo sio tu kukuza uchumi wao lakini kutumika kama darasa wananchi wasio wanabikindi"

Kwa upande wake mwakilishi kutoka Mkoani Athuman Mayunga alisema kupitia ukaguzi wa miradi Mkoa utazialika Halmashauri zingine za Mkoa wa Dar Es salaam kuja kujifunza Ubungo hasa kwenye vikundi kuna ubunifu mkubwa Sana hasa kikundi cha Vijana kinachojihusisha na  kilimo kinachozalisha funza kwa ajili ya  chakula cha mifugo hasa wa samaki.

 Akiongea kwa niaba ya timu ya menejimenti, Mkurugenzi wa  Manispaa hiyo Beatrice Dominic alisema Manispaa ina mpango wa kutoa mikopo mikubwa kwa vikundi vyenye miradi mikubwa ili viweze kutengeneza ajira zaidi kupitia miradi yao ya uzalishaji Mali

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.