• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MKURUGENZI NTIRUHUNGWA APONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI

Posted on: October 6th, 2023

Kamati ya Ukaguzi wa  Miradi ya Manispaa ya Ubungo ikiongozwa na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo Ndg. Elias Ntiruhungwa wameendelea na 

ukaguzi wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri hiyo lengo ikiwa ni kufanya ufuatiliaji na kuhakikisha  inakamilika kwa wakati

Kamati imekagua miradi minne ikiwemo mwendelezo wa ujenzi wa miundombinu katika shule ya wasichana ya Mkoa wa Dar es Salaam (Dar es Salaam Girls secondary School) ambapo ujenzi wa bweni, Bwalo,  Chumba cha Tehama, miundombinu ya barabara, nyumba za walimu na madarasa kwa ajili ya kidato cha kwanza  na majengo yote yapo  katika hatua mbalimbali za  ukamilishaji

Pia kamati imekagua miradi ya ujenzi wa madarasa 6 shule ya Msingi Karume ambayo yapo hatua za umaliziaji, ujenzi wa jengo la upasuaji na jengo la wazazi na jengo la kufulia katika kituo cha Afya Makuburi na maboresho ya miundombinu katika soko la ndizi Mabibo.

Akiongea wakati wa ukaguzi wa miradi hiyo Mkurugenzi wa manispaa hiyo amepongeza kasi ya utekelezaji wa miradi hiyo na kuwataka wakandarasi wanaotekeleza miradi hiyo kuhakikisha wanamaliza kwa wakati kwa mujibu wa mikataba ya kazi hizo.


Kwa upande wa ujenzi wa majengo ya  kituo cha afya makuburi, Mkurugenzi amempa siku tatu mkandarasi anayejenga majengo hayo kukamilisha kazi zote zilizobaki ili yaanze kutumika.


Timu ya wataalam wakiongozwa na Mkurugenzi Manispaa Ubungo ELIAS NTIRUHUNGWA wakiwa  katika ukaguzi wa miradi

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.