• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MKURUGENZI UBUNGO AKAGUA MIRADI YA BOOST

Posted on: August 13th, 2023

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg. Elias Ntiruhungwa  tarehe 13/08/2023 ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa BOOST unaotekelezwa ndani ya Shule nane za Msingi za Manispaa hiyo.

Katika ziara hiyo Ntiruhungwa amefanikiwa kutembelea Shule ya msingi Mbezi, Makabe, Msumi, Tegeta A, Matosa, Makoka na Millenia ya tatu ambapo madarasa, madawati na matundu ya vyoo yanajengwa katika Shule hizo kwa gharama ya shilingi 1,509,400,000 ambazo ni fedha za BOOST kutoka Serikali kuu.

Manispaa ya Ubungo kupitia mradi huo imefanikiwa kupata Shule mbili mpya zenye mikondo miwili, vyumba 21 vya madarasa katika Shule tano za Msingi, vyumba viwili vya mfano vya elimu ya awali katika Shule 1 ya Msingi na ujenzi wa matundu 20 ya vyoo katika Shule nne za Msingi.

Akiongea katika ukaguzi huo Ntiruhungwa amewapongeza walimu wakuu waliomaliza ujenzi huo kwa ubora na amewaagiza wasiomaliza kusimamia vyema na kumaliza ujenzi wa mradi huo ndani ya muda uliopangwa na hivyo kupata majengo na madawati yenye ubora kwa maslahi ya wanaubungo na Taifa kwa ujumla. 


Aidha, Ntiruhungwa amemshukuru Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mgao wa fedha hizo ambazo zimesaidia kuboresha miundombinu ya elimu kwa kuongeza vyumba vya madarasa, madawati na matundu ya vyoo katika Shule mbalimbali za Msingi zilizopo ndani ya Manispaa hiyo.

Kwa upande wake Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Msumi Noelina Tendwa amesema atahakikisha miundombinu hiyo ya elimu inatunzwa na kusimamiwa vyema ili itumike kizazi na kizazi na ameishukuru Manispaa hiyo kwa kupeleka mradi huo Shuleni hapo ambao kwa kiasi kikubwa umepunguza changamoto ya upungufu wa madarasa na vyoo shuleni hapo.

Mradi wa BOOST utaboresha upatikanaji wa fursa sawa katika ujifunzaji bora wa elimu ya awali na Msingi Tanzania Bara, ambao ni sehemu ya Mpango wa lipa kulingana na matokeo katika elimu awamu ya pili (EPforR II) na unaochangia utekelezaji wa Mpango wa Maendeleo wa Sekta ya Elimu wa miaka mitano 2021/2022 hadi 2025/2026.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.