• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MKURUGENZI UBUNGO AKAGUA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: February 9th, 2024

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Elias Runeye Ntiruhungwa  tarehe 09/02/2024 amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na Manispaa hiyo, ukiwemo mradi wa ujenzi wa nyumba ya Mkurugenzi wa Manispaa hiyo na Shule ya wasichana ya Mkoa ya Dar es salaam iitwayo Shule ya Sekondari Dar es salaam.

Akiongea wakati wa ukaguzi wa miradi hiyo Ntiruhungwa amewataka wakandarasi wa miradi hiyo kukamilisha kwa wakati ujenzi wa miradi hiyo sambamba na kuzingatia ubora wa miradi hiyo.

Sambamba na hayo Ntiruhungwa amemtaka Mhandisi wa Manispaa hiyo kuhakikisha miradi hiyo inajengwa kwa ubora unaostahiki ili iendane na thamani ya fedha iliyotolewa.

Mradi wa ujenzi wa nyumba ya Mkurugenzi umegharimu kiasi cha shilingi Milioni 402 ambazo ni fedha za mapato ya ndani ya Manispaa hiyo ukiwa ni mradi wa ujenzi wa jengo la ghorofa moja na hadi sasa ujenzi wake umefikia asilimia 70 na unatarajiwa kukamilika mwisho wa mwezi huu.

Huku ujenzi wa Shule ya Sekondari ya sayansi ya wasichana ya Mkoa wa Dar es salaam ikiwa imegharimu zaidi ya bilioni 5 hadi sasa ambazo ni fedha kutoka Serikali kuu na mapato ya ndani ya Manispaa hiyo ikiwa na vyumba 22 vya madarasa, bwalo 1, maabara 4, chumba kimoja cha TEHAMA, mabweni 8 yenye uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 800, jengo 1 la utawala, nyumba 5 za walimu, kichochea taka na njia za kupita ‘walk ways’

Shule hiyo ujenzi wake umefikia asilimia 96 na hadi sasa ina jumla ya wanafunzi 298 wa kidato cha kwanza na cha tano.

Ntiruhungwa ametoa muda wa wiki moja kutokea sasa kuhakikisha mkandarasi anamaliza ujenzi wa majengo yote ya Shule hiyo.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.