• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MKURUGENZI WA ELIMU TAMISEMI AONGEA NA WALIMU UBUNGO

Posted on: June 20th, 2024

Mkurugenzi wa Elimu Tamisemi Dkt. Emmanuel Shindika tarehe 19 juni, 2024 ameongea na walimu wa Shule za msingi na Sekondari katika Manispaa ya Ubungo na kuwataka kuzingatia maadili ya kazi, kufanya kazi kwa ufanisi na kuwakumbusha masuala mbalimbali ya kuzingatia katika utendaji wa majukumu yao ya ufundishaji

Aliendelea kusema kuwa, Serikali imelenga  kuhakikisha walimu wanapata maslahi yao na katika kuhakikisha hilo amewaagiza maafisa elimu Sekondari na Msingi  kusimamia walimu kupata maslahi yao ya likizo, malimbikizo na kuhakikisha wanaostahili kupanda madaraja wanapanda

"Amini inawezekana, badilisha mtazamo, acha mazoea" hayo yalikuwa ni maneno ya Dkt. Shindika amewataka walimu kubadili mitazamo yao na kuongeza bidii katika ufundishaji

Dk. Shindika amewataka walimu kufundisha na kufanya kazi kwa weledi na ufanisi ili kuongeza ufaulu wa wanafunzi "Jivunie kuitwa mwalimu, uwalimu ni ufahari, jivunie kuitwa mwalimu" alisema hayo Dkt. Shindika

Akisoma taarifa ya divisheni ya elimu msingi na awali pamoja na elimu Sekondari Mkuu wa Idara ya elimu Sekondari Ndg. Vosta Mgina amesema kuwa  Manispaa ya Ubungo ina jumla ya Shule 225 za elimu msingi na kati ya hizo za Serikali 69 na binafsi 156 na pia amesema kuwa jumla ya Shule za Sekondari 74 kati ya hizo 36 za Serikali na binafsi ni 38

Aliendelea kueleza kuwa jumla ya walimu 150 wa Shule za msingi na Sekondari wamelipwa malimbikizo ya mishahara

Na jumla ya madai ya likizo yenye thamani ya kiasi Cha shilingi 361,669,000.00 yamelipwa kwa walimu 1203 kwa mwaka wa fedha 2023/2024

Nae, Kaimu Mkurugenzi Upendo Haule ambaye pia ni Afisa utumishi na usimamizi wa rasilimali watu amewapongeza walimu kwa kufanya kazi kwa bidii na kuwaahidi kuhakikisha anasimamia vyema wanapata masilahi yao.

Halikadhalika, Afisa elimu Mkoa Gift Kyando amewaagiza maafisa elimu kuhakikisha wanashughulikia changamoto za walimu hao mapema ili wapate stahiki zao kama ilivyoagizwa na Mkurugenzi Dkt.shin

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.