• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MKURUGENZI WA MANISPAA YA UBUNGO APOKEA MAKABATI 44 KUTOKA SHIRIKA LA JSI

Posted on: December 18th, 2019

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo BEATRICE DOMINIC  akiongozana na Wataalam wa Manispaa ya Ubungo leo amepokea makabati kutoka katika Shirika la JSI  katika Kata ya Kwembe.
Wakati akikabidhi  makabati hayo Mkurugenzi  wa JSI kanda ya Pwani  PAMELA MSEI  alisema kwa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo tutatoa makabati 44 ambayo yatakwenda katika Kata 10 ambazo zipo katika Halmashauri ya Ubungo.
 Kata hizo ni Kata ya Kwembe inakayopata makabati 8, Kata ya Goba makabati 4, Kata ya Kimara makabati 3, Kata ya Mabibo makabati 2, Kata ya Makurumla makabati 6, Kata ya Manzese makabati 2 ,Kata ya Mbezi makabati 5, Kata ya Saranga makabati 12, Kata ya Sinza kabati 1 na Kata ya Ubungo kabati 1.

Aidha Mkurugenzi wa JSI alitambulisha shirika la JSI kuwa ni shirika linalo  tekeleza Mradi wa uboreshaji wa mifumo ya afya na ustawi wa jamii.Katika Wilaya ya Ubungo tutakuwa na Kata kumi ambazo kama shirika la JSI tumehakikisha tunapeleka makabati ya kuifadhia taarifa za watoto na wanawake wanaokuwa wanafanyiwa ukatili wa kijinsia na tutakabidhi fomu namba tatu piece 78 ambazo zitasaidia katika ukusanyaji wa taarifa. Aliyasema hayo Mkurugenzi wa JSI.
Baada ya kupokea Makabati hayo *Mkurugenzi Beatrice Dominic alitoa shukrani zake za pekee kwa shirika la JSI na Mkurugenzi wa JSI kwa mchango wao wa Makabati waliyoyatoa katika Kata ya Kwembe.
Nishukuru kwa JSI kwa kazi wanayofanya hasa kwa Halmashauri ya Ubungo na niagize makabati haya yakahifadhie taarifa zinazostahili kuwekwa katika makabati haya na si vinginevyo na nitafuatilia hili katika kata hizi kuliangalia hili kwa umakini na kufwatilia.

Pia niagize kwa watendaji ambao mpo chini yangu tufanye kazi kwa haki na tutekeleze yale ambayo mradi unategemea kwamba tutayafanya na sisi kama Wataalam tuhakikishe haya yanayofadhiliwa na wenzetu tunayafanyia kazi. Alisema hayo Mkurugenzi  Beatrice Dominic

Aidha Nipende kusisitiza wanakamati mkiwa katika vikao vyenu mjadili mambo yote muhimu na muhakikishe mnapata taarifa sahihi za watoto wanaohishi katika mazingira magumu na muhakikishe mnashughulikia vyema na mtumie vikao mnavyofanya mtoe taarifa za sehemu mnapotoka na mziweke katika maandishi.  Aliongeza Mkurugenzi Beatrice Dominic
Nae Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ubungo Ndg.PETER NSANYA  alitoa shukrani zake kwa Shirika la JSI kwa mchango wao walio hutoa kwa Manispaa ya Ubungo na kuahaidi makabati hayo yatatumika ipasavyo katika kuhifadhi taarifa za watoto hao.






Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • MIRADI 7 YENYE THAMANI YA BILIONI 8.2 UBUNGO YAPITA KWA KISHINDO MBIO ZA MWENGE WA UHURU 2025

    June 05, 2025
  • TUZINGATIE USAFI KUEPUKA MAGONJWA

    May 31, 2025
  • BODI YA AFYA UBUNGO YAPONGEZA WATAALAM WA AFYA NA KUTOA MAAGIZO YAKUBORESHA NYANJA MBALIMBALI

    May 29, 2025
  • MAAFISA HABARI HAKIKISHENI MNATANGAZA UTEKELEZAJI WA MIRADI KWA WANANCHI

    May 24, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.