• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MKURUGENZI WA MANISPAA YA UBUNGO APOKEA MBAO 800 KUTOKA BENKI YA NMB

Posted on: November 22nd, 2019

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Bi.BEATRICE DOMINIC  leo amepokea mbao 800 kutoka benki ya NMB katika shule ya Sekondari Mbezi Inn.   Akikabidhi mbao hizo Mkurugenzi wa NMB kanda ya Daresalaam na Zanzibar Ndg. Badru Idd amesema kwa niaba ya benki NMB na Mkurugenzi wa NMB anatoa shukrani za dhati kwa Uongozi wa Manispaa kwa ushirikiano wanaoutoa.  Nimefurahi hii shule ni miongoni mwa shule zinazofanya vizuri katika mitihani ya Taifa, someni sana tunataka angalau siku moja raisi atoke hapa. Alisema Badru.  Baada ya kupokea mbao hizo Bi.Beatrice Dominic  alitoa shukrani zake za pekee kwa Mkurugenzi wa NMB kwa mchango wao.  Ikumbukwe kuwa Shule ya Sekondari Mbezi Inn iliungua tarehe 1 mwezi wa nne mwaka huu na Mkurugenzi wa Manispaa amekuwa akifanya jitihada kuhakikisha ujenzi wa madarasa yaliyoungua unaanza mara moja.

Napenda niwahakikishie kuwa ujenzi huu utaanza Jumatatu mara moja na mbao hizi zitatumika kwa wakati na kwa kusudio lake. Aliongeza Bi. Beatrice.  Mkurugenzi wa Manispaa aliiomba Jamii inayoizunguka shule, Walimu pamoja na wanafunzi kuhakikisha wanalinda na kuhifadhi vizuri miundombinu ya Shule, Madarasa pamoja na Madawati kwani Serikali ya awamu ya tano chini ya Dr. John Pombe Magufuli  inathamini sana elimu kiasi cha kutoa elimu bure kuanzia Shule za Msingi hadi Sekondari.  Kwa kumalizia Mkurugenzi aliiomba Benki ya NMB kutoishia hapo tuu ila waendelee kutoa misaada kwani Halmashauri bado ina mahitaji hasa kwenye sekta ya Afya kwani kuna maneo mengi ambayo ujenzi unaendelea na kutakuwa na mahitaji wakati ujenzi ukiendelea na baada ya kukamilika.


Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.