• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MKUU WA WILAYA YA UBUNGO ATEMBELEA WANANCHI WA KATA YA KIMARA NA SHULE YA MSINGI SARANGA KUWAPA POLE NA KUJIONEA MAAFA YALIYOWAPATA

Posted on: March 6th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori leo ametembelea kata za Kimara na Saranga ili kujionea mwenyewe kwa macho maafa yaliyotokea kutokana na mvua kali iliyonyesha katika maeneo mbali mbali ya Wilaya ya Ubungo.  Mhe. Mkuu wa Wilaya aliongozana na kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo Diana Nkarage.

Mhe. Makori aliwaambia wananchi wa Mtaa wa Golani Kata ya Kimara kuwa amefika kwao ili kujuliana hali na kuwapa pole wale wote walioathirika na mvua zilizonyesha tarehe 04/03 siku ya Jumatano.  "Nimefika kwa niaba ya Serikali kuwapa pole wahanga wote ambao wameathirika kwa namna moja ama nyingine na mvua zilizonyesha hivi karibuni. Alisema Mkuu wa Wilaya. Mkuu wa Wilaya alisema kuwa amewasiliana na wadau ambao kama watakuwa tayari kusaidia basi Wilaya itaona namna ya kuwashika mkono.

Baada ya kutoka Mtaa wa Golani Mhe. Mkuu wa Wilaya alitembelea Shule ya Msingi Saranga iliyopo kata ya Saranga ambapo kuna madarasa matatu yaliyoezuliwa paa na nyumba mbili za walimu ambazo pia zimeezuliwa paa.

Mkuu wa Wilaya aliwahakikishia wanafunzi na walimu kuwa tayari kuna jitihada za haraka zinafanyika ili madarasa na nyumba za walimu ziweze kukarabatiwa na hatimaye wanafunzi waweze kupata sehemu ya kusomea.



Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.