• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MPANGO WA AWALI WA BAJETI YA LISHE 2024/2025 WAFANYIKA

Posted on: November 24th, 2023

Manispaa ya Ubungo kupitia idara  ya Afya, ustawi wa jamii na lishe imefanya kikao kazi kilicholenga kufanya utekelezaji wa  mpango wa awali wa huduma za lishe mtambuka kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

Akiongea katika kikao hicho kilichofanyika  tarehe 24 novemba,2023 Afisa lishe Mkoa Bi. Mwanamvua Zuberi alisisitiza katika uandaaji wa mpango kazi huo ni muhimu kuzingatia vipaumbele ambavyo vitasaidia kuboresha maswala ya lishe na hasa utoaji wa elimu ya lishe mtambuka kwa jamii

Mwanamvua aliendelea kueleza kuwa, ni  muhimu mambo yote yanayotakiwa kuzingatiwa katika maswala ya lishe ambayo kwa miaka ya nyuma hayakufanyika kwa sasa  yakapewa kipaumbele na marekebisho yote yaliyofanyika katika kuweka maboresho ya mpango kazi ujao yakazingatiwa ili kupata mpango kazi utakaoleta tija kwa jamii.

Akiwasilisha taarifa ya mafanikio ya utekezaji wa  lishe kwa mwaka 2022/2023 na robo ya kwanza ya 2023/2024, Afisa lishe  wa Manispaa ya Ubungo Bi. Beatrice Mossile amesema kuwa, katika kuhakikisha lishe inakuwa ni swala mtambuka kitengo cha  lishe kimefanikiwa kuwafikia wananchi kwa ukaribu zaidi kwa kutoa elimu na pia kuhakikisha ushirikishaji wa  viongozi wa Serikali katika siku ya afya na lishe  katika ngazi ya mitaa na kata ( SALiKi) umefanyika.

Aliendelea kueleza kuwa, Mafunzo ya matibabu ya utapia mlo yanaendelea kutolewa kwa watoa huduma za afya na pia Utoaji wa elimu ya lishe mashuleni, kuanzisha club za lishe mashuleni ambapo jumla ya shule 213 kati ya 262 zimeanzishwa. Uhitaji wa vibao vya kupimia urefu, chakula dawa na wadi ya watoto alielezea vinahitajika.

Katika utoaji wa elimu pia wadau mbalimbali wameweza  kushirikiana na Manispaa ya Ubungo kwaajili ya utoaji wa elimu ya lishe mashuleni na kwenye jamii, Pia kusaidia watoto waliokutwa na udumavu na  Wadau hao ni pamoja na MDH, NCT, TANCO na Jiephaego.

Aidha, Mikakati mbalimbali imewekwa katika mpango wa awali wa huduma mtambuka za lishe kutoka idara na vitengo ikiwemo Idara ya  Afya, ustawi wa jamii na lishe, vituo vya huduma za afya, idara za kilimo, uvuvi na mifugo, elimu msingi na sekondari, maendeleo ya jamii, TASAF na Mipango na uchumi

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.