• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MRADI WA NEST360 AWAMU YA PILI WAZINDULIWA HOSPITALI YA WILAYA UBUNGO.

Posted on: June 12th, 2024

Mradi wa utoaji huduma za afya kwa watoto wachanga, NEST360 (Newborn Essential Solutions and Technologies) umezinduliwa leo Juni 13, 2024 na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Grace Magembe katika hospitali ya wilaya Ubungo

Akiongea katika uzinduzi huo Mgeni rasmi, Dkt. Grace Magembe amewaomba wahudumu wa huduma za Afya Nchini kuhakikisha wanaongeza ubora wa utoaji huduma ili uende sambamba na maboresho makubwa ya miundombinu ya afya pamoja na vifaa tiba

"Mwaka 2018 wodi za watoto wachanga zilikua 18, lakini kwa hivi sasa mwaka 2024 wodi za watoto wachanga zipo 241 Nchi nzima. Huu ni uwekezaji mkubwa sana umefanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya Dkt. Samia Suluhu Hassan" alisema Maghembe

Mradi huo na maalumu kwa ajili ya kuokoa vifo vya watoto wachanga ambao wanakabiliwa na changamoto mbalimbali za afya ikiwa ni pamoja na kuzaliwa mapema kabla ya wakati (Pre mature birth).


Mradi wa NEST360 (2024 - 2029) ambao unafadhiliwa na chuo kikuu cha Rice360 kutoka nchini Uingereza kimefadhili mradi huo kwa gharama ya shilingi bilioni 17 Ambazo zitatumika kwenye utoaji wa vifaa tiba pamoja na ujenzi wa wodi za watoto wachanga ambapo mradi utatekelezwa katika hospitali 21 nchi nzima.


Kwa Manispaa ya Ubungo mradi huo utatekelezwa kupitia hospitali ya wilaya Ubungo iliyopo Kimara Baruti ambapo vifaa mbalimbali vimekabidhiwa hospitali hapo ikiwa ni pamoja na Phoenix Infant Warmer, Suction Machine, Pumani Bubble CPAP, Phoenix Phototherapy Machine, Flow Splitter, Syringe Pump, Pulse Oximeter, na Oxygen Concentrator.




Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.