• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MRADI WA UBORESHAJI WA USALAMA WA MILIKI (LTIP) KUANZA RASMI UBUNGO

Posted on: September 12th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mheshimiwa Hashim komba amefanya kikao kazi na Wenyeviti wa Mitaa na Viongozi wa kamati za Urasimishaji za mitaa kuhusu  urasimishaji

Mradi wa urasimishaji kupitia benki ya Dunia rasmi unaenda kuanza  katika Wilaya ya Ubungo na utafanyika katika mitaa yote

Hayo yameelezwa  tarehe 12 septemba, 2023 na Komba  alipofungua kikao kazi kilicholenga kuzungumzia maswala ya urasimishaji kwa Wilaya ya Ubungo

Aliendelea kwa kusema kuwa Kwa mujibu wa world bank urasimishaji utafanyika Kwa kiasi cha laki moja na elfu 30 ambacho kila mwananchi atalipia

Fedha hiyo itakua ni kwaajili ya utambuzi, upangaji na upimaji

"Tembeeni vifua mbele urasimishaji unaenda kufanyika katika Wilaya ya ubungo" wenyeviti mkasimamie zoezi hili 

Komba aliendelea kwa kusema kuwa, natamani kuona Wilaya yetu ya Ubungo inaenda kufanya zoezi hili Kwa haraka na muda mchache 

Nataka Ubungo ikawe Wilaya ya mfano katika zoezi hili la urasimishaji na mtaa utakaofanya maandalizi Kwa haraka Kwa kuhakikisha uundaji wa kamati unafanyika Kwa wakati basi ntakuja mwenyewe kwenye mtaa huo kwaajili ya kufanya hamasa

Nae, Mratibu wa zoezi la urasimishaji Wilaya ya Ubungo ndg. John Ilomo alielezea  Mradi wa uboreshaji wa usalama wa miliki (LTIP) kupitia Benki ya  Dunia katika Halmashauri ya Ubungo lengo lake ni kukwamua zoezi la urasimishaji katika mitaa kwa kukamilisha kazi na kutatua changamoto za Kila mtaa kulingana na hatua ya utekelezaji iliyofikiwa na Makampuni yaliyokuwa yakitekeleza Miradi hii.

Aliendelea kusema kuwa, Ardhi clinic itafanyika katika ngazi ya mitaa ili kusogeza huduma za umilikishaji kwa wananchi ambapo mitaa mingi itafikiwa ikiwa ni pamoja na kufanya uhakiki wa taarifa zilizokusanywa wakati wa zoezi la urasimishaji.

Mradi huu pia umelenga kutoa hati kidigitali hivyo utahusisha pia zoezi la kubadilisha data kutoka katika mfumo wa zamani na kuzipeleka katika mfumo wa kidigitali

 Halikadhalika, utekelezaji wa Mradi huu utaanza rasmi kuanzia  tarehe 17/9/2023

Mratibu wa mradi ndg. JOHN ILOMO akitoa maelekezo kuhusiana na mradi wa World Bank utakavyofanya kazi katika Wilaya ya Ubungo 


















Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.