• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

MSTAHIKI MEYA NDANI YA BANDA LA 8'8 MOROGORO

Posted on: August 8th, 2024

Ikiwa ni siku ya Kilele Cha maonesho ya nanenane  katika Mkoa wa morogoro  tarehe 8/8/2024 Mstahiki Meya Manispaa ya Ubungo Jaffari Nyaigesha ametembelea banda la Ubungo na kujionea ubunifu wa wajasiriamali wa Ubungo katika maonesho hayo

Meya Nyaigesha amewapongeza wajasiriamali na wakulima waliopo katika banda la Ubungo kwani vipando vimependeza na kueleza jinsi Ubungo ilivyofanya vizuri katika masuala ya ufugaji hasa kwa uwepo wa mbuzi wa maziwa na kuku wa mapambo

Wakulima na wafugaji katika Banda la Ubungo wameyatendea haki maonesho haya kwa ubunifu na uzuri wa vipando vilivyopo kwani Kuna kila aina ya mboga. Alisema hayo Meya Nyaigesha

Pia ubungo ipokea ugeni wa viongozi mbalimbali akiwemo Mkuu wa Wilaya ya  kinondoni Mhe Saad Mtambule  akiongozana na Mstahiki Meya wa Manispaa ya kinondoni Songoro Mnyonge na wao pia wamepongeza wakulima na wajasiriamali wa Ubungo kwa ubunifu katika vipando na bidhaa wanazalisha

Aidha, viongozi wa chama kutoka Wilaya ya Ubungo wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi Wilaya ya Ubungo Mhe.Rogati Mbowe wametembelea katika Banda la Ubungo na kuwapongeza wajasiriamali hao Kwa ubunifu pamoja na uongozi wa Ubungo kwa kusimamia vyema maonesho hayo.

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • "BAMBOO DAY" UBUNGO KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MAGODA BAMBOO YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI NYASI ZA MIANZI DUNIANI

    September 18, 2025
  • TBS WAKABIDHI VITAMBULISHO 20 KWA MAAFISA AFYA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO

    September 18, 2025
  • RAS MHITE ATEMBELEA UBUNGO, ASISITIZA UKUSANYAJI WA MAPATO

    September 12, 2025
  • MIAKA MINNE YA MAFANIKIO: UTELEKELEZA WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    September 02, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.