• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

RAS MHITE ATEMBELEA UBUNGO, ASISITIZA UKUSANYAJI WA MAPATO

Posted on: September 12th, 2025

Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam  Ndg  Abdul Mhite Septemba 12, 2025 ametembelea Manispaa ya Ubungo kwa lengo la  kuzungumza na wafanyakazi katika Manispaa hiyo na amesisitiza  kujikita katika ubunifu wa vyanzo vya mapato na kufanya kazi kwa weledi

Katika kikao hicho amepokea taarifa ya utendaji kazi  kwa mwaka 2020/2025 iliyowasilishwa na mchumi wa Manispaa hiyo iliyoeleza  changamoto, mafanikio, na fursa zilizopo Ubungo Akizungumza wakati wa kikao hicho Ras Mhite, amesisitiza nguvu na maarifa katika ukusanyaji wa mapato pamoja na ubunifu, Katika suala la ubunifu alisema tufikirie sana wananchi ambao hawana ajira ili kubuni miradi itakayo ongeza ajira na kukuza kipato kwa wanachi wa ubungo

Pia, amesisitiza umuhimu wa matumizi ya teknolojia  na vifaa vya kisasa  katika utendaji kazi ndani  na nje ya ofisi  ili kuendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia  yanayoendelea ulimwenguni,  kwani teknolojia inarahisisha utendaji kazi. 

Aidha umuhimu wa mshikamano na uwajibikaji kwa watumishi wa umma kwa kuwahudumia wananchi wanaofika katika ofisi za wilaya kwa kuzingatia lugha nzuri na weledi ili kutatua changamoto zao  na hii itapelekea kupunguza  idadi ya watu wanaoenda ngazi ya mkoa kutafuta suluhu.

 Ras Mhite amesema kuwa Serikali inaendelea kuimarisha mazingira bora ya kazi pamoja na kusikiliza maoni ya wafanyakazi ili kuongeza tija katika utoaji wa huduma.

Alihitimisha kwa kuwataka watumishi kufanya kazi kwa kushikamana, kupendana na umoja kama timu ili kupata matokeo chanya 

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Dkt. Aron Kagurumjuli amemshukuru RAS kwa kutembelea Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa kupitia kikao hicho kimeongeza mwamko mpya wa kazi na kuimarisha mahusiano kati ya wafanyakazi na uongozi wa Mkoa.





Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • "BAMBOO DAY" UBUNGO KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MAGODA BAMBOO YAADHIMISHA SIKU YA UPANDAJI NYASI ZA MIANZI DUNIANI

    September 18, 2025
  • TBS WAKABIDHI VITAMBULISHO 20 KWA MAAFISA AFYA WA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO

    September 18, 2025
  • RAS MHITE ATEMBELEA UBUNGO, ASISITIZA UKUSANYAJI WA MAPATO

    September 12, 2025
  • MIAKA MINNE YA MAFANIKIO: UTELEKELEZA WA MIRADI YA MAENDELEO KATIKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA UBUNGO CHINI YA UONGOZI WA RAIS SAMIA

    September 02, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.