• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

RC CHALAMILA AFANYA ZIARA UBUNGO, ASISITIZA UCHAPAJI KAZI NA USHIRIKIANO

Posted on: May 31st, 2023

Mapema leo Mei 31, 2023 mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila amefanya ziara ya kutembelea Wilaya ya Ubungo kujitambulisha kwa watumishi wa wilaya na Manispaa ya Ubungo na kutoa maelekezo ya mwelekeo wake wa kiuongozi ndani ya mkoa huu 

Mhe. Chalamila amefanya ziara hiyo ndani ya Wilaya ya Ubungo kufuatia kuhamishiwa mkoa wa Dar es Salaam kutokea mkoa wa Kagera

Akitoa salamu za ukaribisho, mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Hashim Komba amempongeza Mhe. Albert Chalamila kwa kuendelea kuaminiwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na amemuahidi ushirikiano wa kutosha pamoja na utekelezaji wa maagizo yake

Sambamba na hilo Mhe. Komba amemweleza mkuu wa mkoa kuwa Wilaya ya Ubungo imeendelea kujidhatiti kwenye utoaji huduma bora kwa wananchi na ukamilishaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika sekta mbalimbali. Pia ukusanyaji wa mapato ambapo kwa mwaka wa fedha 2022/2023 Makadirio ya makusanyo ya mapato ni Bilioni 32 na mpaka sasa zimeshakusanywa Bilioni 28 sawa na asilimia 90 ya matarajio. 


Akiongea katika kikao hicho Mhe. Albert Chalamila amewataka watumishi wa umma wa Wilaya na Manispaa ya Ubungo kuweka jitihada, nidhamu, ubunifu na uvumbuzi kwenye kutoa huduma bora kwa wananchi ili kutafsiri maono ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa uhalisia 

"Watumishi wa umma tuna dhamana ya Mhe. Rais hivyo tunalo jukumu la kutoa huduma bora kwa wananchi ili tujitendee haki sisi wenyewe pamoja kumtendea haki Rais wetu. Pia ushirikiano na upendo ni nguzo kubwa za kufanikisha malengo na matarajio ya wananchi kwetu sisi watumishi" alisema Chalamila 

Aidha Chalamila ameiagiza Manispaa ya Ubungo kushughulikia changamoto za makundi kama vile kundi la watu wa bajaji na makundi mengine ya wajasiriamali katika jamii juu ya changamoto zinazowakabili 

Akitoa shukrani katika kikao hicho naibu meya wa Manispaa ya Ubungo Mhe. Yusuf Yenga amemshukuru mkuu wa mkoa kwa kufanya ziara hiyo na amemhakikishia ushirikiano wa kutosha wa baraza la madiwani na Manispaa kwa ujumla katika kipindi chake cha uongozi katika mkoa wa Dar es Salaam

Mkuu wa mkoa wa dar es salaam Albert Chalamila akiongea na watumishi wa  Manispaa ya Ubungo



























Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.