• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Ubungo Municipal Council
Ubungo Municipal Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Ubungo Municipal Council

  • Home
  • About US
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Secondary Education
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Industry,Trade and Investments
      • Planning and Coordination
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Human Resources Management and administration
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Communit Development
    • Units
      • Legal Services
      • Internal Audit
      • ICT
      • Procument Management
      • Government Communication
      • Finance and Accounts
      • Sports, Culture and Arts
      • Waste Management and Sanitation
      • Natural Resources and Environment Conservation
    • Municipal By Laws
      • Municipal By Laws
      • Other Laws
  • Opportunities
    • Livestock
    • Agriculture
    • Markets
    • Bus Terminal
    • Industries
  • Services
    • Health
      • iCHF
      • Nutrition
      • Social welfare
    • Education
      • Pre and Primary Education
      • Secondary Education
    • Business
      • Service levy
      • Tax Registration
      • Business Licence
      • Hotel Levy
    • Enterpreneurship
      • Ten Percent Loans
    • Agriculture
    • Fishing
    • Livestock
      • UJUWA
  • Councilors
    • Councilors list
    • Council Committee
    • Council legal meeting
    • Meyor's schudule
  • Projects
    • Planned Projects
    • On going Projects
    • Completed projects
  • Publications
    • Guidelines
    • Application Forms
    • Reports
    • Acts
    • Bronchures
    • Tender Advert
    • Strategic Plan
    • Newsletter
  • Media Center
    • Photo Gallery
    • Video Gallery
    • Press Release
    • Speeches

RC CHALAMILA AFANYA ZIARA USIKU WILAYA YA UBUNGO

Posted on: October 24th, 2024

Katika hatua nyingine ya usikilizaji wa kero za Katika hatua nyingine ya usikilizaji wa kero za wananchi pamoja na usimamizi wa Miradi ya maendeleo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amechukua hatua ya kufanya ziara katika wilaya ya Ubungo ili kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuskiliza kero za wananchi

Hayo yamejiri usiku wa Oktoba 24, 2024 ambapo mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Albert Chalamila ametembelea shule maalumu ya wasichana ya mkoa wa Dar es Salaam (Dar es Salaam girls) ambapo ameongea na Wanafunzi  wa shule hiyo huku akiwasisitiza umuhimu wa kuwa na nidhamu, kusoma kwa bidii pamoja na kujiwekea malengo

"Ninawapongezeni kwa dhati Wanafunzi wote ambao mmepata nafasi ya kusoma katika shule hii maalumu. Lazima mjue mna dhima kubwa ya kutafsiri dhamira ya dhati ya Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye ndo amejenga shule hizi maalumu katika mikoa mbawananchi pamoja na usimamizi wa Miradi ya maendeleo, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam amechukua hatua ya kufanya ziara katika wilaya ya Ubungo ili kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo pamoja na kuskiliza kero za wananchi

Vile vile kwa upande mwingine, Chalamila amefanya ziara katika soko la Mbezi Mwisho Stendi ya Malamba Mawili ambapo amewapongeza wafanyabiashara ndogondogo wa maeneo hayo na kuwataka kuendelea kufanya biashara kwa masaa 24 kwani mkoa wa Dar es Salaam ni mkoa wa kibiashara
Nae mkuu wa wilaya ya Ubungo Mhe. Hassan Bomboko amemshukuru mkuu wa mkoa kwa ziara hiyo ya kitofauti na ameahidi kutekeleza maagizo yote yaliyotolewa

Announcements

  • KIBALI CHA KUANZA KUTOZA USHURU WA KUSHUSHA NA KUPAKIA MIZIGO July 17, 2023
  • KUKANUSHA TAARIFA YA UWEPO WA HARAFU MBAYA STENDI YA MABASI MAGUFULI July 06, 2023
  • MATOKEO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 Ubungo September 06, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NAFASI YA DEREVA NA KATIBU MAHSUSI July 21, 2022
  • View All

Latest News

  • NI LAZIMA UJENZI WA UKUTA UANZE NA KUKAMILIKA" DC MSANDO

    May 12, 2025
  • CHALAMILA AZINDUA BIASHARA SAA 24 UBUNGO

    May 09, 2025
  • KATA YA UBUNGO YAKABIDHI MKOPO WA TSH. 122,800,000/= KWA VIKUNDI SITA VYA ASILIMIA 10

    May 02, 2025
  • KAMPENI YA KATAA UCHAFU, SAFISHA, PENDESHA UBUNGO YAZINDULIWA, MITAA SAFI NA MICHAFU KUPEWA ZAWADI

    May 03, 2025
  • View All

Video

KIWANJA CHAKO KINA HATI? | UMEKUWA UKISUMBULIWA NA MIGOGORO YA ARDHI? | KARIBU KWENYE ARDHI CLINIC
More Videos

Quick Links

  • Leseni za biashara
  • Ushuru wa Hoteli
  • Kibali cha ujenzi
  • Sheria ndogondogo
  • Malengo na Dira
  • Muundo wa Uongozi
  • zabuni

Related Links

  • The National Examinations Council of Tanzania
  • TAMISEMI
  • Ministry of Education
  • President office State House
  • National Council for Technical Education
  • Ministry of Finace and Planning

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

    Luguruni Area, Morogoro Road

    Postal Address: P. 0. BOX 55068 Dar es Salaam

    Telephone: +255 22 2926341

    Mobile:

    Email: md@ubungomc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Site Map

Copyright ©2017Ubungo Municipal Council All rights reserved.